Tag: Kilifi
Daraja la Mbogolo lasombwa na mafuriko
Shughuli za uchukuzi katika barabara kuu ya Mombasa-Malindi, zimesambaratishwa baada ya daraja la Mbogolo kusombwa na mafuriko Jumamosi asubuhi.
Sehemu ya barabara hiyo upande...
Visa vya dhuluma za kimapenzi dhidi ya watoto vyaongezeka Malindi
Chama cha watumiaji wa mahakama ya Malindi inayoshughulika na maswala ya watoto, kimeelezea wasiwasi kuhusu ongezeko la visa vya dhuluma dhidi ya watoto katika...
Eneo la Ngomeni, Kilifi lapata kituo kipya cha polisi
Kampuni ya mawasiliano ya kutumia satelaiti kukusanya habari na mawasiliano iliyoko eneo la Ngomeni, kaunti ya Kilifi imekabidhi idara ya polisi nchini kituo kipya...
Hekaheka za kutokomeza ukatili wa kijinsia zapamba moto Kilifi
Serikali ya kaunti ya Kilifi imeungana na washikadau wengine katika kukabiliana na ukatili wa kijinsia.
Kulingana na takwimu kutoka Idara ya Jinsia, Utamaduni na Huduma...
Serikali kuangazia maslahi ya wanaoishi na ulemavu kote nchini
Serikali kupitia Hazina ya Kitaifa ya Walemavu Nchini sasa inasema kuwa imetenga kima cha shilingi zaidi ya milioni 100 mwaka huu kufadhili miradi mbalimbali...
Viongozi wa ODM Kilifi walumbana, wakazi wawasihi kutuliza joto la kisiasa
Tofauti za kisiasa zimechacha miongoni mwa viongozi wa chama cha ODM katika kaunti ya Kilifi, hususan kati ya Gavana Gideon Mung'aro na Mwakilishi wa...
Wajane kaunti ya Kilifi wataka serikali kupiga jeki miradi yao
Baadhi ya wajane pamoja na wanawake wa familia za mzazi mmoja eneo la sabaki kaunti ya kilifi, sasa wanaitaka serikali kuu pamoja na ile...
DCI yataka washukiwa 2 kuzuiliwa Kilifi kubaini mmiliki wa bangi
Mkurugenzi wa Idara ya Upelelezi wa Jinai, DCI jijini Mombasa anataka wanaume wawilii kuzuiliwa kwa kipindi cha wiki tatu ili kubaini mmiliki wa bangi...
Maafisa wakuu wa manunuzi warambwa Kilifi, watakiwa kwenda likizo
Gavana wa kaunti ya Kilifi Gideon Mung'aro amewataka maafisa wakuu wa manunuzi katika kaunti hiyo kwenda kwenye likizo ya kulipwa ya siku 90 wakati...
Ruto: Waliopanga maandamano wanapaswa kuwaomba Wakenya msamaha
Rais William Ruto amewataka waliopanga maandamano ya hivi karibuni kuwaomba Wakenya msamaha.
Amesema ni ukosefu wa uaminifu kwa upinzani kusingizia kujali maslahi ya watu ilhali...