Home Tags Kilifi County

Tag: Kilifi County

Mbunge Baya aanzisha kampeini ya siku 10 kupinga matumizi ya Muguka...

0
Mbunge wa Kilifi kaskazini Owen Baya, ameanzisha kampeini ya siku 10 kupinga uuzaji na matumizi ya Muguka katika kaunti ya Kilifi. Baya anesema ataendelea na...

Serikali ya kaunti ya Embu kwenda mahakamani kupinga marufuku ya Muguka

0
Serikali ya kaunti ya Embu inapanga kwenda mahakamani kupinga hatua ya serikali za kaunti za Mombasa na Kilifi ya kupiga marufuku uuzaji na matumizi...

Wanaharakati wa haki za binadamu wapongeza marufuku ya Muguka Kilifi

Wanaharakati wa haki za binadamu katika kaunti ya Kilifi wamempongeza Gavana Gideon Mung'aro kwa kupiga marufuku mauzo na matumizi ya Muguka katika kaunti hiyo...

Polisi ajeruhiwa Kilifi katika vurugu kuhusu mradi wa nyuklia

0
Afisa wa polisi leo Jumatano amepata majeraha madogo baada ya vurugu kuzuka eneo la Uyombo katika Kaunti ya Kilifi. Polisi huyo alijeruhiwa wakati wakazi waliokuwa...

Upepo mkali wavuma Kilifi

0
Upepo mkali sana umeripotiwa katika maeneo mbalimbali ya pwani ya Kenya kutokana na dhoruba ya Tropiki IALY. Kulingana Na shirika la msalaba mwekundu, upepo huo...

Mpango wa IFAD wa kustahimili hali ya hewa wafaidi watu elfu...

Mratibu wa mpango wa IFAD nchini Kenya Ronald Ajengo akizuru mradi wa kuimarisha nafaka nchini Kenya (KCEP-CRAL) katika Kaunti ya Kilifi anasema mradi huo...

Gavana Mung’aro apongeza juhudi za kukamilisha uhamisho wa majukumu na mali...

Gavana wa Kilifi Gideon Mung’aro amepongeza juhudi za kamati ya kiufundi ya uhusiano kati ya serikali kuu na serikali za kaunti IGRTC, za kutekeleza...

Hospitali ya rufaa ya Kilifi yapokea vifaa vya matibabu ya meno...

0
Hospitali ya rufaa ya kaunti ya Kilifi imenufaika na vifaa vya kisasa vya matibabu ya meno kutoka Marekani. Naibu balozi wa Marekani nchini Kenya Mark...

Mabweni mawili yateketea shuleni Kipsigak kaunti ya Nandi

0
Moto ambao unadhaniwa kuwashwa kwa kupenda uliteketeza mabweni mawili usiku wa kuamkia leo katika shule ya upili ya wavulana ya Kipsigak katika kaunti ya...

Raila akosoa serikali ya Kenya Kwanza

0
Kiongozi wa muungano wa upinzani Azimio la Umoja One Kenya Raila Odinga ameikosoa serikali ya Kenya Kwanza kwa kile anachokitaja kuwa hatua ya kuteka...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS