Home Tags Kigali

Tag: Kigali

Rais Ruto apigia debe mfumo wa ushirikishwaji katika taasisi za Kimataifa...

0
Rais William Ruto ametoa wito wa kufanyiwa mageuzi taasisi za kimataifa za ufadhili, akitetea mfumo wa ushirikishwaji zaidi. Rais Ruto alisisitiza haja ya kuwepo demokrasia...

Rais Ruto awasili nchini Rwanda kwa ziara rasmi

Rais William Ruto amewasili Kigali, nchini Rwanda kuhudhuria mkutano wa kila mwaka wa maafisa wakuu watendaji wa Bara Afrika. Rais Ruto anatarajiwa kuwa na...

Naibu Rais Rigathi Gachagua afanya ziara rasmi nchini Rwanda

0
Naibu rais Rigathi Gachagua ameondoka hapa nchini Jumamosi alasiri, kuelekea Jijini Kigali, Rwanda, kuhudhuria  kumbukumbu ya miaka 30 tangu kutokea kwa mauaji ya kimbari...

Ndege ya KQ yawarejesha abiria baada ya kushindwa kutua Kigali

0
Ndege moja ya shirika la ndege nchini la Kenya Airways, KQ imelazimika kuwarejesha abiria katika uwanja wa kimataifa wa ndege wa Jomo Kenyatta, baada...

Michezo ya wabunge Afrika Mashariki yaendelea nchini Rwanda

0
Mashindano ya michezo kati ya wabunge wa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki yanaendelea katika uwanja wa Pele jijini Kigali nchini Rwanda. Spika wa Bunge...

Pepea Mashariki: Kongamano la Takwimu za Afya lafikia kikomo, Rwanda

0
Jumuiya ya Afrika Mashariki, Bunge la Afrika Mashariki na Pan African Health Informatics Association wamehitimisha kongamano la siku mbili kuhusu takwimu za afya ambalo...

Matamshi ya kejeli yamponza kocha wa timu ya wanawake ya Rwanda

0
Kocha wa timu ya wanawake ya Rwanda Grace Nyinawumuntu amesimamishwa kazi kwa muda usiojulikana na shirikisho la soka nchini humo kufuatia matamshi ya dharau...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS