Home Tags KICC

Tag: KICC

Korti yasema KICC ni mali ya serikali

0
Jumba la Mikutano ya Kimataifa la Kenyatta, KICC ni mali ya serikali.  Hii ni kwa mujibu wa uamuzi uliotolewa leo Jumatatu na Jaji Jacqueline Mogeni...

Mikutano ya kila mwaka ya AfDB yaanza Nairobi

0
Mikutano ya kila mwaka ya benki ya maendeleo barani Afrika AfDB mwaka huu wa 2024 imeanza leo katika jumba la KICC jijini Nairobi. Mikutano...

Mataifa yaliyostawi yatakiwa kuongeza mchango kwa shirika la IDA

0
Rais William amesema bara la Afrika halitafuti tu ufadhili, lakini pia linataka ufadhili dhabiti kwa maendeleo ya bara hili. Akizungumza leo Jumatatu wakati wa ufunguzi...

KICC kunadiwa kama kituo kinara cha mikutano na maonyesho

0
Jitihada zinafanywa ili kulinadi Jumba la Mikutano ya Kimataifa la Kenyatta, KICC kama kituo bora cha kuandaa mikutano na maonyesho.  Hayo yamesemwa na Waziri wa...

Waigizaji na Wachekeshaji wajitokeza kuunga mkono Crazy Kennar

0
Wabunifu wengi wakiwemo waigizaji nawachekeshaji na wengine katika sekta ya burudani walikongamana jana katika jumba la KICC kuunga mkono mwenzao Kennedy Odhiambo maarufu kama...

Ruto: La muhimu sasa ni kutengeneza fursa za ajira kwa vijana

0
Rais William Ruito amesema jambo la maana kwa sasa ni kuhakikisha fursa za ajira kwa vijana ambao ndio wengi katika idadi jumla ya watu...

Afrika yataka ushirikiano wa dunia yote kukabiliana na mabadiliko ya tabia...

0
Bara Afrika linataka juhudi za pamoja zitekelezwe ulimwenguni katika kukusanya mapato ya kugharamia maendeleo na kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabianchi. Haya ni...

Tume ya filamu nchini yaandaa maonyesho katika kongamano la tabianchi

0
Filamu kwa jina "Between the Rains" inayohusu tabianchi, ilizinduliwa na kuonyeshwa kwa mara ya kwanza katika jumba la KICC katika kongamano linaloendelea la Afrika...

Barabara muhimu kufungwa Nairobi wakati wa kongamano la tabia nchi

0
Barabara muhimu za jiji la Nairobi zitafungwa kati ya Jumatatu na Jumatano wiki ijayo wakati wa kongamano la Afrika kuhusu tabia nchi. Kongamano hilo litaandaliwa...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS