Tag: Kiambu
Watu 2 wafariki, wengine wajeruhiwa kwenye ajali Kiambu
Watu wawili wamefariki baada ya dereva wa basi walimokuwa wakisafiria kushindwa kulidhibiti na basi hilo.
Hali hiyo ilisababisha basi hilo kubingiria kwenye mtaro katika eneo...
Serikali yasema eneo palipomwagika sodium cyanide sasa ni salama
Serikali ya Kenya imetangaza kuwa eneo la Kambembe huko Rironi katika kaunti ya Kiambu palipomwagika kemikali ya sodium cyanide sasa ni salama.
Hii ni baada...
Wanahabari Kiambu waandamana, walaani kupigwa risasi kwa Catherine Wanjeri
Wanahabari mjini Kiambu wameandamana leo Jumatano kulalamikia kupigwa risasi kwa mwenzao mjini Nakuru wakati wa maandamano ya vijana wa Gen Z jana Jumanne.
Wamelaani vikali...
Familia 50 zahamishwa kuepuka mafuriko
Serikali imehamisha familia 50 zinazoathirika na mafuriko katika kaunti ndogo ya Limuru kaunt ya Kiambu, kufuatia mvcua kubwa inayoshuhudiwa kote nchini.
Familia kumi kati ya...
Wazee na walemavu wasajiliwa kwa NHIF kupitia ufadhili wa NG-CDF
Wazee zaidi ya 400 katika kaunti ndogo ya Kiambu Mjini wamesajiliwa katika bima ya afya ya NHIF kupitia ufadhili wa pesa za kustawisha eneo...
Polisi waanza uchunguzi kufuatia kuteketea kwa magari ya kifahari Kiambu
Polisi wameanzisha uchunguzi kubaini chanzo cha moto ulioteketeza karakana moja ya magari katika kaunti Kiambu jana Jumatano.
Magari manane ya kifahari yaliteketea wakati wa...
Rais Ruto: Unyunyiziaji mashamba maji utasitisha uagizaji chakula kutoka nje
Serikali inaongeza uwekezaji katika unyunyiziaji mashamba maji, ili kuimarisha uwezo wa taifa hili wa uzalishaji chakula, hayo ni kwa mujibu wa Rais William Ruto.
Rais...
Ruto: Ujenzi uliokwama wa barabara za Mau Mau kurejelewa
Serikali itarejelea ujenzi wa barabara za Mau Mau zenye urefu wa kilomita 200.
Rais William Ruto amesema serikali imezipiga dafrau changamoto za madeni ambazo zilikuwa...
Washukiwa wawili kushtakiwa kwa mauaji ya mwanablogu Daniel Muthiani
Washukiwa wawili waliohusishwa na mauaji ya mwanablogu wa Meru Daniel Muthiani Benard almaarufu Snipper watashtakiwa kwa mauaji.
Afisi ya mkurugenzi wa mashtaka ya umma...
Bwawa la Karimenu kaunti ya Kiambu limejaa pomoni
Shirika la ustawishaji maji la Athi limetangaza kuwa mvua kubwa inayoshuhudiwa hapa nchini, imesababisha bwawa la Karimenu II lililoko Gatundu Kaskazini, Kaunti ya Kiambu,...