Home Tags Kiambu County

Tag: Kiambu County

Polisi Kiambu wanasa kemikali ya Ethanol

Maafisa wa polisi wa eneo la Juja katika kaunti ya Kiambu wamenasa lita 8,750 za kemikali ya Ethanol, katika kijiji cha Mugutha. Kemikali hiyo ambayo...

Watu 4 wakamatwa Juja, Kiambu baada ya kuua mlinzi na kuiba...

Maafisa wa polisi huko Juja kaunti ya Kiambu wamekamata washukiwa wanne wa wizi baada yao kuua mlinzi na kuiba pombe kutoka eneo moja la...

Lita 750 za Ethanol zanaswa Kiambu

0
Shirika la kupambana na matumizi ya pombe na mihadarati nchini, NACADA limenasa lita 750 za kemikali aina ya Ethanol katika nyumba moja huko Ruaka,...

Rais Ruto asema safari zake ni za kufaidi Kenya

0
Rais William Ruto ametetea safari zake nje ya nchi ambazo zimekuwa mada kwenye vinywa vya wakenya kadhaa. Akizungumza jana Jumapili wakati wa ibada katika kaunti...

Familia 50 zaachwa bila makao Kiambu kufuatia mkasa wa moto

0
Mali ya thamani isiyojulikana imeharibiwa na familia 50 kuachwa bila makao baada ya moto kuteketeza nyumba zao usiku wa manane katika kijiji cha Farmers...

Mkutano wa Gavana wageuka vurugu huko Ruiru

Mkutano wa Gavana wa kaunti ya Kiambu Kimani Wamatangi wa kusambaza hundi za ufadhili wa masomo almaarufu Bursary katika eneo bunge la Ruiru uligeuka...

Harusi yageuka kuwa msiba Kiambu

Sherehe ya harusi ilgeuka na kuwa msiba huko Ruiru kaunti ya Kiambu, baada ya wanawake watano na mtoto mmoja kufariki kufuatia kuporomoka kwa shimo...

Familia moja kaunti ya Kiambu yatafuta haki

Familia moja mjini Thika katika kaunti ya Kiambu inatafuta haki baada ya mwanao kushambuliwa na afisa wa polisi kutokana na kile kinachosemekana kuwa kukosa...

Wavulana 2 wajeruhiwa kwa kushukiwa kuiba mananasi Thika

0
Wavulana wawili wanauguza majeraha mabaya katika hospitali ya Thika level 5 baada ya kugongwa makusudi na gari la walinzi wa kampuni ya Del Monte...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS