Home Tags Kericho

Tag: Kericho

Maafisa watatu wa polisi washtakiwa kwa wizi wa mabavu Kericho

0
Maafisa watatu wa polisi na raia mmoja wameshtakiwa katika mahakama moja ya Kericho kwa wizi wa kimabavu. Wanne hao Kipyegon Ngetich, Chamdany Kipkirui, Robert Ngetich...

Vita dhidi ya pombe haramu vyachacha Kericho

0
Kamishna wa kaunti ya Kericho Gilbert Kitiyo amewaagiza maafisa wa polisi kuimarisha msako dhidi ya pombe haramu zikiwemo baa zinazouza pombe hiyo.  Kitiyo ameonya kuwa...

Ari ya masomo yasababisha kuuawa kwa mwanamke Kericho

0
Huku wanawake na mashirika ya kijamii wakiandamana leo Jumamosi kulalamikia kuongezeka kwa visa vya mauaji ya wanawake, mwanamke mwenye umri wa miaka 25 kutoka...

Abiria wanusurika katika ajali ya barabarani Kericho

0
Abiria 33 walipata majeraha baada ya basi walimokuwa wakisafiria, kuhusika katika ajali ya barabarani katika kituo cha kibiashara cha Tunnel, kaunti ndogo ya Kipkelion...

Maafisa wafisadi serikalini mashakani

0
Rais William Ruto amesema atawakabili vilvyo maafisa wa serikali wanaojihusisha na ufisadi, akidokeza hatarusu rasilimali za umma zikitumika visivyo. Akizungumza siku ya Ijumaa wakati wa...

Kaunti ya Kericho yafaidika pakubwa kwa kuandaa sherehe za Mashujaa

0
Huku sherehe za Mashujaa za mwaka huu zikiandaliwa katika kaunti ya Kericho, kaunti hiyo imenufaika na miradi kadhaa ya maendeleo iliyotekelezwa na serikali ya...

Maandalizi ya Siku ya Mashujaa

0
Pilikapilika za kuandaa Siku ya Mashujaa zimeshika kasi katika kaunti ya Kericho. Kaunti hiyo sasa imegeuka kuwa mwenyeji wa viongozi wa ngazi za juu serikalini...

Murkomen: Upanuzi wa uwanja wa ndege wa Kerenga utaimarisha uchumi

0
Waziri wa Barabara na Uchukuzi Kipchumba Murkomen, amepongeza ukarabati uanoendelea wa kupanua uwanja wa ndege wa Kerenga katika kaunti ya Kericho, akisema utakamilika kabla...

Kaunti ya Kericho yapokea vifaa vya matibabu kutoka KEMSA

0
Halmashauri ya kusambaza vifaa vya matibabu nchini (KEMSA), imeanza kusambaza vifaa vya matibabu vya thamani ya shilingi milioni 70 kwa vituo vya matibabu kaunti...

Kikosi maalum cha usalama chapelekwa kurejesha utulivu Sondu

0
Serikali imewahamisha maafisa wakuu wa usalama katika eneo la Sondu lililoko katika mpaka wa Kisumu na Kericho, ambalo limekumbwa na visa vya utovu wa...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS