Home Tags Kericho Green Stadium

Tag: Kericho Green Stadium

Rais Ruto awaomboleza waliofariki mkurupukoni Kericho

0
Rais William Ruto amewaomboleza watu wanne waliofariki wakati wa mkurupuko uliotokea katika uwanja wa michezo wa Kericho yalikofanyika maadhimisho  ya miaka 60 ya Siku...

Uwanja wa Kericho Green kuitwa Wilson Chumo Kiprugut

0
Uwanja wa Kericho Green utaitwa Wilson Chumo Kiprugut, kwa heshima ya marehemu aliyekuwa Mkenya wa kwanza kushinda medali ya Olimpiki mwaka 1964. Kiprugut aliyefariki mwaka...

Siku ya Mashujaa: Waziri Namwamba kukabidhi Uwanja wa Kericho Green Alhamisi

0
Ukarabati wa uwanja wa michezo wa Kericho Green umekamilika siku moja kabla ya sherehe za Siku ya Mashujaa kuandaliwa uwanjani hapo.  Hafla ya ukabidhi wa...

Uwanja wa Kericho Green wakaguliwa kabla ya sherehe za Mashujaa

0
Sherehe za mwaka huu za siku ya Mashujaa zitaandaliwa katika uwanja wa michezo wa Kericho Green Ijumaa Oktoba 20. Kamati andalizi ya sherehe za kitaifa...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS