Home Tags Kenya

Tag: Kenya

Vipusa wa Kenya watua nchini baada ya kuibwaga Burundi

0
Timu ya taifa ya Kenya kwa wasichana walio chini ya umri wa miaka 17 maarufu kama Rising Starlets, imewasili nyumbani leo Alasiri kutoka Adis...

Mabanati wa Kenya wanusa Kombe la Dunia baada ya kuizabua Burundi

0
Vidosho wa Kenya wanakaribia kuandikisha historia kuwa timu ya kwanza ya Kenya, kufuzu kwa fainali za kombe la dunia chini ya umri wa miaka 17,...

Junior starlets kuchuana na Burundi Jumapili kuwania tiketi ya Kombe la...

0
Timu ya taifa ya Kenya kwa wasichana wasiozidi umri wa miaka 17 itachuana na Burundi Jumapili jioni, katika mkumbo wa kwanza raundi ya nne...

Junior starlets watua Adis tayari kuikabili Ethiopia

0
Timu ya taifa ya Kenya kwa wasichana walio chini ya umri wa miaka 17 maarufu kama Junior Starlets iliwasili mjini Adis Ababa, Ethiopia Ijumaa...

Kenya yatia saini Itifaki ya IGAD ya uhamishaji mifugo

0
Kenya imetia saini rasmi itifaki ya IGAD juu ya uhamishaji mifugo, na kuwa nchi ya tano kuidhinisha makubaliano hayo yenye lengo la kudhibiti uhamishaji...

Kenya kukabiliana na Burundi leo kusaka tiketi ya Kombe la Dunia

0
Timu ya taifa ya soka ya Kenya-Harambee Stars, itashuka uwanjani Bingu mjini Lilongwe nchini Malawi leo alasiri kwa mechi ya tatu ya kundi F...

Kenya tayari kuandaa maadhimisho ya siku ya Kiswahili Duniani

0
Kenya iko tayari kuandaa  maadhimisho ya  siku ya Kiswahili Duniani tarehe 7 mwezi ujao kwa mara ya kwanza. Waziri wa jinsia,utamaduni,sanaa na turathi Aisha Jumwa...

Kenya yajiunga rasmi na Taasisi ya Kimataifa ya Chanjo

0
Kenya imejiunga rasmi na Taasisi ya Kimataifa ya Chanjo (IVI) kama nchi mwanachama.  Rais William Ruto amesema hatua ya Kenya kujiunga na taasisi hiyo inaimarisha...

Kenya yapata mkopo wa shilingi bilioni 63 kutoka Korea Kusini

0
Rais William Ruto amepata mkopo wa maendeleo wa dola milioni 485 ambazo ni sawa na shilingi bilioni 63 za Kenya kutoka kwa Jamhuri ya...

Mabanati wa Kenya waimarisha mazoezi kuikabili Burundi

0
Timu ya taifa ya Kenya kwa wasichana walio chini ya umri wa miaka 17, imeimarisha mazoezi kwa mechi ya kufuzu kwa Kombe la Dunia...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS