Home Tags Kenya Red Cross

Tag: Kenya Red Cross

Upepo mkali wavuma Kilifi

0
Upepo mkali sana umeripotiwa katika maeneo mbalimbali ya pwani ya Kenya kutokana na dhoruba ya Tropiki IALY. Kulingana Na shirika la msalaba mwekundu, upepo huo...

Familia zaidi ya 700 zahamishwa kufuatia kufurika kwa mto Ewaso Nyiro

0
Familia zaidi ya 700 zimelazimishwa kuhama makwao baada ya nyumba zao kusombwa na maji kufuatia kufurika kwa mto Ewaso Nyiro uliovunja kingo zake. Kulingana na...

Maafisa wa Red Cross watumwa kuwaokoa abiria waliokwama kwa mafuriko Tana...

0
Kampuni ya Red Cross imewatuma maafisa wake ili kuwaokoa abiria 51, waliokwama ndani ya basi kwenye mafuriko huko Tana River. Maafisa wa Red Cross wametumia...

Majeruhi 44 hospitalini kutokana na ajali ya barabara Londiani

0
Abiria 40 wanapokea matibabu katika hospitali ya Fort Tenan, baada ya basi la abiria 66 kuhusika kwenye ajali katika eneo la ...

Red Cross yatoa msaada kwa waathiriwa wa mafuriko Elwak

0
Shirika la Msalaba Mwekundu lilitoa msaada wa vyakula na bidhaa nyinginezo za matumizi kwa wakazi wa eneo la Elwak kaunti ya Mandera,walioathiriwa kutokana...

Watano wafariki, 10 wajeruhiwa katika ajali Londiani

0
Watu watano walifariki papo hapo na wengine 10 wakajeruhiwa, kufuatia ajali ya barabarani iliyohusisha matatu ya abiria 14 katika eneo la Londiani, kaunti ya...

Watoto 15 waokolewa kutoka maeneo yaliyofurika Tana River

0
Shirika la msalaba mwekundu Jumanne liliokoa watoto 15 kutoka kwenye mashamba wakati ambapo mafuriko yanaendelea kusababisha uharibifu katika kaunti ya Tana River. Watoto hao wa...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS