Home Tags Kenya Meteorological Department

Tag: Kenya Meteorological Department

Upepo mkali wavuma Kilifi

0
Upepo mkali sana umeripotiwa katika maeneo mbalimbali ya pwani ya Kenya kutokana na dhoruba ya Tropiki IALY. Kulingana Na shirika la msalaba mwekundu, upepo huo...

Mvua kubwa yatarajiwa nchini yaonya idara ya hali ya hewa

0
Idara ya Hali ya Hewa ya Kenya inafuatilia kwa karibu dhoruba ya tropiki Ialy, ambayo kwa sasa iko Kusini-Magharibi mwa Bahari ya Hindi. Dhoruba hiyo...

Mvua kubwa yatarajiwa maeneo kadhaa nchini Jumatatu

0
Mvua kubwa inatarajiwa katika maeneo ya ukanda wa ziwa Victoria ,bonde la ufa na Nairobi kwa mjibu wa ripoti kutoka kwa idara ya utabiri...

Kimbunga Hidaya chafifia na kutoweka katika pwani ya Daresalaam na Kenya

0
Tukio la Kitropiki la kimbunga  cha Hidaya lililotarajiwa  katika pwani za Kenya na Daresalaam nchini Tanzania limekamilika rasmi baada ya upepo huo kufifia. Serikali za...

Watu 228 wafariki kutokana na mafuriko

0
Jumla ya watu 228 wamefariki kote nchini kutokana na athari za mafuriko ya mvua baada ya wengine 9 kuaga dunia, ndani ya saa 24...

Kimbunga cha Hidaya chatarajiwa pwani ya Kenya

0
Pwani ya Kenya inatarajiwa kukumbwa na kimbunga kijulikanacho kama Hidaya, mwishoni mwa juma hili huku serikali ikiwatahadhari wanaokaa karibu na bahari Hindi . Kimbunga hicho...

Takriban watu 100 wafariki kutokana na mafuriko Kenya

0
Takriban watu 100 wameripotiwa kufariki kutokana na mafuriko yanayosababishwa, na mvua kubwa inayoshuhudiwa katika maeneo mbalimbali nchini Kenya. Miili sita iliopolewa katika mto...

Jiandae kwa mvua nyingi wasema wataalam wa anga

0
Wakenya wameshauriwa kutahadhari dhidi ya mvua kubwa inayotarajiwa nchini kwa juma moja lijalo . Idara ya utabiri wa hali ya anga imetangaza kuwa viwango vya...

Watu 15 waangamia kufuatia mvua kubwa

0
Takriban watu 15 wamefariki kutokana na mvua kubwa inayoendelea kushuhudiwa katika maeneo mbalimbali nchini. Idara ya Utabiri wa Hali ya Hewa inasema mvua hiyo itaendelea...

Jiandaeni kwa mvua kubwa hadi Januari, Wakenya waonywa

0
Wakenya wametahadharishwa kujiandaa kwa mvua kubwa kwa kipindi cha miezi mitatu ijayo hadi mwezi Januari mwakani. Idara ya utabiri wa hali ya hewa inasema maeneo...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS