Home Tags Kenya Kwanza

Tag: Kenya Kwanza

Wabunge wa Kenya Kwanza wakutana Ikulu

0
Wabunge wa muungano unaotawala wa Kenya Kwanza wanakutana leo Jumanne asubuhi katika Ikulu ya Nairobi.  Mkutano huo utaongozwa na Rais William Ruto na kuhudhuriwa na...

Wawakilishi Wadi watakiwa kuwaelezea Wakenya manifesto ya Kenya Kwanza

0
Rais William Ruto ametoa wito kwa Wawakilishi Wadi wa muungano wa Kenya Kwanza kuelewa manifesto ya muungano huo ili wawaelezee Wakenya mashinani yaliyomo.  Amesema serikali...

Matukio ya Taifa: Serikali yatakiwa kutafuta suluhu ya nyakati ngumu zinazo...

0
Serikali imetakiwa kutafuta suluhisho kukabili wakati mgumu wa fedha unaokumba Wakenya wengi. Haya yanajiri siku chache tu baada ya Waziri wa Fedha Prof. Njuguna...

Matukio ya Taifa: Serikali yatakiwa kudhibiti kiwango cha riba ya mikopo...

0
KWENYE MAKALA YA MATUKIO HII LEO 1. Serikali yatakiwa kudhibiti kiwango cha riba ya mikopo kuzuia kuwaumiza zaidi wanaokopa 2. Walimu wa shule za msingi sekondari wasisitiza...

Viongozi wa Kenya Kwanza wamsuta Uhuru

0
Rais Mstaafu Uhuru Kenyatta kwa muda amekuwa akilaumiwa na viongozi wanaoegemea utawala wa Kenya Kwanza.  Wakosoaji wake wakidai kuwa alichangia, kwa kiwango kikubwa tu, matatizo...

Rais Ruto aongoza mkutano wa wabunge wa Kenya Kwanza

0
Rais William Ruto leo Jumanne aliongoza mkutano wa wabunge wa muungano wa Kenya Kwanza katika Ikulu ya Nairobi. Naibu Rais Rigathi Gachagua na wabunge ni...

Zinga: Je, katika kuleta maendeleo ya taifa, viongozi wanafaa kuwajibika vipi?

0
Je, katika kuleta maendeleo ya taifa, viongozi wanafaa kuwajibika vipi kwa maongezi na vitendo? https://art19.com/shows/zinga/episodes/0af82576-9956-4fd2-b0b7-e03b23982dae

Matukio ya Taifa: Wakenya wahimizwa kukumbatia mila na tamaduni kama chachu...

0
Wakenya wamehimizwa kukumbatia mila na tamaduni zao kukuza amani na maendeleo, akiongea katika ukumbi wa Bomas wakati wa kuadhimisha siku ya utamaduni hapa nchini...

Matukio ya Taifa: Rais Ruto azindua miradi ya mabilioni, Nyanza

0
Ziara ya Rais William Ruto katika mkoa wa Nyanza imepongezwa na wengi. Rais William Ruto alizindua miradi mbali mbali katika kaunti za mkoa huo...

Matukio ya Taifa: Kamati ya maridhiano yakamilisha zoezi la kupokea maoni

0
Kamati ya mazungumzo ya maridhiano ya pande zote mbili imekamilisha zoezi la kupokea maoni kutoka kwa wananchi. Tume hiyo sasa inatarajiwa kuanza zoezi la...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS