Home Tags Kenya Airways

Tag: Kenya Airways

KQ yafafanua kuhusu kufungwa kwa njia ya ndege uwanjani JKIA mapema...

0
Kampuni ya uchukuzi wa ndege nchini Kenya Airways KQ imefafanua kuhusu kisa cha kutua kwa ndge iliyokuwa na hitilafu kilichosababisha kufungwa kwa mojawapo ya...

KQ yaomba radhi kufuatia kucheleweshwa kwa safari kadhaa

0
Kampuni ya usafiri wa ndege ya Kenya Airways - KQ imetoa taarifa ya kuomba radhi wateja wake ambao safari zao zimecheleweshwa au kuvurugwa kwa...

Wafanyakazi wawili wa KQ waliokuwa wakizuiliwa DRC waachiliwa huru

0
Shirika la ndege la Kenya Airways KQ, limetangaza kuachiliwa huru kwa wafanyakazi wake wawili, waliokuwa wakizuiliwa katika Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo DRC. Kupitia kwa...

Kenya Airways yasitisha safari za Kinsasha

0
Kampuni ya ndege nchini ya Kenya Airways imetangaza kusitisha safari zake za kutoka Nairobi hadi Kinsasha katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, kufuatia kuzuiliwa...

Kenya Airways yarejesha safari za moja kwa moja kati ya Nairobi...

0
Safari za moja kwa moja za ndege za kampuni ya Kenya Airways kati ya Nairobi nchini Kenya na jiji la Mogadishu nchini Somalia zimerejelewa...

Ndege za abiria za KQ kuendelea kutua Tanzania

0
Mamlaka ya usafiri wa angani nchini Tanzania, TCAA imetangaza kwamba imeruhusu tena ndege za abiria za shirika la Kenya Airways, KQ kuendelea kuhudumu kati...

Ndege ya KQ yawarejesha abiria baada ya kushindwa kutua Kigali

0
Ndege moja ya shirika la ndege nchini la Kenya Airways, KQ imelazimika kuwarejesha abiria katika uwanja wa kimataifa wa ndege wa Jomo Kenyatta, baada...

Ratiba ya safari za ndege za KQ kutatizwa

0
Huku msimu wa krismasi unapokaribia, Shirika la ndege la Kenya Airways limetangaza kutatizwa kwa ratiba ya safari zake kutokana na uhaba wa vipuri.  Shirika hilo...

Ndege ya Kenya Airways yalazimishwa kutua Uingereza

0
Ndege ya shirika la Kenya Airways iliyokuwa ikelekea katika uwanja wa kimataifa ya Hethrow Jijini London Uingereza,  ilielekezwa katika uwanja wa ndege wa Stansted,...

Ndege ya Kenya Airways yatua kwa dharura

0
Ndege moja ya shirika la ndege la Kenya Airways, KQ iliyokuwa ikielekea Uingereza kutoka jijini Nairobi, ilitua kwa dharura katika Uwanja wa Ndege wa...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS