Home Tags KeNHA

Tag: KeNHA

Barabara ya Nyerere jijini Nairobi kufungwa kwa muda

0
Mamlaka ya Kitaifa ya Barabara Kuu ya Kenya (KeNHA) imetangaza kuwa barabara ya Nyerere itafungwa kwa muda karibu na mzunguko wa chuo kikuu cha...

KeNHA yafunga barabara ya Garsen -Witu

0
Mamlaka ya usimamizi wa barabara kuu nchini (KeNHA) imetangaza kufunga barabara ya Garsen-Witu- hadi Lamu baada ya mto Tana kuvunja kingo zake. KeNHA imesema mvua...

KeNHA yafunga barabara ya Kenol-Sagana

0
Mamlaka ya barabara kuu nchini (KeNHA)imetangaza kufunga sehemu ya barabara ya Kenol - Sagana baada ya kuharibiwa na mvua. Ililazimu barabara hiyo kufungwa kufuatia kujaa...

KeNHA yafunga barabara za Haile Selassie na bunge...

0
Mamlaka ya barabara kuu nchini, KeNHA imetangaza kufunga kwa muda barabara za Haile Selassie Avenue kwenye mzunguko wa Haile Selassie pamoja na barabara ya...

KeNHa kufunga mizunguko mitano ya Uhuru Highway

0
Mamlaka inayosimamia barabara kuu nchini Kenya, KeNHA imetangaza kufunga mizunguko mitano ya barabara kuu ya Uhuru kuanzia Alhamisi, Disemba 28 hadi Jumatatu, Januari mosi,...

KeNHA yaanza ukarabati wa daraja la Mbogolo

0
Halmashauri ya usimamizi wa barabara kuu hapa nchini KeNHA, imeanza ukarabati wa daraja la Mbogolo katika barabara kuu ya Mombasa - Kilifi, lililosombwa na...

Wananchi waonywa dhidi ya kutumia barabara ya Mtwapa-Kadzengo-Kilifi

0
Huku taifa hili likiendelea kushuhudia mvua zinazosababishwa na hali ya El Nino, halmashauri ya kusimamia barabara kuu hapa nchini KeNHA, imewatahadharisha wananchi dhidi ya...

Msipakie mizigo kupita kiasi, KENHA yawaonya madereva wa malori

0
Mamlaka ya barabara kuu nchini, KENHA imewahimiza madereva kujiepusha na kubeba mizigo kupita kiasi kwani hatua hiyo inachangia pakubwa uharibufu wa barabara humu nchini. Akizungumza...

KeNHA: Hatujalitenga eneo la Nyanza katika ujenzi wa barabara

0
Mamlaka ya Kitaifa ya Usimamizi wa Barabara Kuu Nchini, KeNHA imekanusha madai kuwa imelitenga eneo la Nyanza katika mipango yake ya ujenzi wa barabara. Hii...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS