Home Tags KEMSA

Tag: KEMSA

Ugatuzi wa afya: Magavana wailaumu serikali kuu

0
Baraza la Magava, CoG sasa linadai kuwa kuna njama ya kurejesha usimamizi wa sekta ya afya kwa serikali kuu.  Kupitia kwa Gavana wa kaunti ya...

KEMSA yatuzwa na shirika la utafiti wa ubora nchini Uingereza

0
Shirika la kusambaza dawa na vifaa tiba nchini, KEMSA limeiweka Kenya katika ramani ya ulimwengu baada ya kushinda tuzo ya uongozi katika ubora mwaka...

Afisa mkuu mtendaji wa KEMSA Andrew Mulwa ashinda tuzo ya usimamizi...

0
Afisa mkuu mtendaji wa hamashauri ya usambazaji dawa nchini (KEMSA) Dkt. Andrew Mulwa, ameshinda tuzo ya usimamizi bora barani Afrika ya African Governance Award...

Wizara ya Afya yapiga hatua katika kukabiliana na malaria

0
Wizara ya Afya imeripoti kupiga hatua kubwa za ufanisi katika kampeni zake dhidi ya ugonjwa wa malaria.  Kampeni hiyo ilizinduliwa mnamo Novemba 15 katika kaunti...

KEMSA yaagizwa kununua bidhaa zilizotengenezewa hapa nchini

0
Halmashauri ya usambazaji dawa na vifaa vya matibabu hapa nchini( KEMSA), imeagizwa kununua bidhaa za matibabu zinazotengenezewa hapa nchini. Akitoa agizo hilo, Rais William Ruto...

Kaunti ya Kericho yapokea vifaa vya matibabu kutoka KEMSA

0
Halmashauri ya kusambaza vifaa vya matibabu nchini (KEMSA), imeanza kusambaza vifaa vya matibabu vya thamani ya shilingi milioni 70 kwa vituo vya matibabu kaunti...

Waziri Nakhumicha: Malipo ya NHIF yatapungua hadi shilingi 300

0
Waziri wa Afya Susan Nakhumicha amesema ada za bima ya matibabu, NHIF zitapungua hadi shilingi 300 kuanzia mwezi Septemba mwaka huu. Kulingana naye, hii ni...

Wizara ya Afya yapunguza muda wa kuwalipa wawasilishaji bidhaa

0
Wizara ya Afya imetangaza kupunguzwa kwa muda wa kuwalipa wawasilishaji bidhaa za afya, hadi siku 90 kutoka siku 100. Hata hivyo, wawasilishaji bidhaa hizo...

Waziri wa Afya Susan Nakhumicha aapa kumaliza ufisadi KEMSA

0
Waziri wa Afya Susan Susan Nakhumicha aameapa kumaliza ufisadi katika shirika la kusambaza dawa na vifaa vya matibabu nchini KEMSA na hazina ya kitaifa...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS