Home Tags Kelvin Kiptum

Tag: Kelvin Kiptum

Kipyegon na marehemu Kiptum ndio wanaspoti bora 2023

0
Bingwa mara mbili wa Olimpiki Faith Kipyegon na mshikilizi wa rekodi ya dunia ya Marathon marehemu Kelvin Kiptum, ndio wanaspoti bora wa mwaka...

Kiptum apumzishwa nyumbani kwake

0
Mshikilizi wa rekodi ya dunia katika mbio za marathoni Kelvin Kiptum amezikwa leo Ijumaa nyumbani kwake eneo la Naiberi, kaunti ya Uasin Gishu kwenye...

Marehemu Kiptum kuzikwa Ijumaa, mazishi kuongozwa na Rais Ruto

0
Mshikilizi wa rekodi ya dunia ya mbio za marathon Kelvin Kiptum atazikwa Ijumaa nyumbani kwake kijijini Naiberi  kaunti ya Uasin Gishu. Mazishi hayo yanatarajiwakuongozwa na...

Mahakama yakataa kusimamisha mazishi ya Kiptum

0
Mahakama kuu ya Eldoret imekataa ombi la mwanamke mmoja anayetaka mazishi ya mwanariadha shupavu Kelvin Kiptum yasimamishwe kwa kile anachokitaja kuwa kutohusishwa kwenye mipango. Edna...

Tuzo za SOYA zaahirishwa hadi Machi 1 kufuatia kifo cha Kiptum

0
Makala ya 20 ya tuzo za kila mwaka za kuwatunuku wanaspoti bora nchini maarufu kama SOYA yataandalwia tarehe 1 mwezi ujao katika ukumbi wa...

Watu waliozuru makazi ya Kiptum kabla ya kifo chake wakamatwa

Watu watatu kati ya wanne waliozuru makazi ya mwanariadha mshikilizi wa rekodi ya dunia Kelvin Kiptum siku nne kabla ya kifo chake wamekamatwa na...

Risala za rambirambi zamiminika kufuatia kifo cha Kiptum

0
Viongozi mbalimbali wanazidi kutuma risala za rambi rambi kwa jamaa na marafiki wa mwenda zake mshikilizi wa rekodi ya dunia ya marathon kelvin Kiptum. Rais...

Historia ya marehemu Kelvin Kiptum

0
Kelvin Kiptum Cheruiyot alizaliwa Disemba 2,mwaka 1999 katika kijiji cha Chepsamo eneo la Chepkorio, Kaunti ya Elgeyo Marakwet. Alikuwa mwanariadha wa mbio za marathon...

Rais Ruto aongoza jumbe za maombolezi ya Kelvin Kiptum

0
Viongozi katika nyanja mbalimbali na wanamichezo wakiongozwa na Rais William Ruto wanaendelea kumwomboleza mwanariadha mashuhuri Kelvin Kiptum. Kupitia taarifa, Rais Ruto amemtaja marehemu Kiptum kuwa...

Mshikilizi wa rekodi ya dunia Kelvin Kiptum afariki katika ajali

0
Mshikilizi wa rekodi ya dunia ya mbio za marathon Kelvin Kiptum alifariki dunia Jumapili usiku baada ya gari walimokuwa wakisafiria pamoja na kocha wake...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS