Home Tags KDF

Tag: KDF

Kahariri aapishwa kuwa Mkuu mpya wa Majeshi

0
Rais William Ruto mapema Ijumaa katika Ikulu ya Nairobi ameongoza kuapishwa kwa Mkuu mpya wa Majeshi Jenerali Charles Muriu Kahariri. Wengine waliokula kiapo ni Jenerali...

Wanajeshi wa Kenya waua wanamgambo 6 wa Al Shabaab Lamu

0
Wanajeshi wa Kenya waliwauwa wanamgambo sita wa kundi haramu la Al Shabaab, katika msako ulioendesha kaunti ya Lamu Jumatano wiki hii. Kulingana na taarifa hiyo...

Jenerali Charles Muriu Kahariri ateuliwa mkuu mpya wa majeshi ya Kenya

0
Rais wa Jamhuri ya Kenya William Samoei Ruto amempandisha cheo Charles Muriu Kahariri hadi kiwango cha Jenerali na kumteua kuwa mkuu mpya wa majeshi...

Wanajeshi wahusishwa katika usaidizi wa waathiriwa wa mafuriko

0
Wizara ya usalama wa taifa imetangaza kwamba wanajeshi sasa wanahusika katika shughuli za kutafuta na kuokoa walioathiriwa na mafuriko. Kwenye taarifa kwa vyombo vya habari...

Sajenti Nyawira azikwa nyumbani Kirinyaga

0
Sajenti Rose Nyawira aliyefariki kwenye ajali ya ndege ya jeshi wiki iliyopita amezikwa Alhamisi nyumbani kwake kaunti ya Kirinyaga. Bi Nyawira aliaga dunia pamoja na...

Marehemu Ogolla azikwa nyumbani Alego

0
Mkuu wa majeshi jenerali Francis Ogolla azikwa nyumbani kwake Alego Usonga, kaunti ya siaya akiwa na umri wa miaka 61. Ogolla alipewa heshima ya risasi...

Jenerali Ogolla alikuwa shupavu na mkakamavu, asema Rais Ruto

0
Rais William Ruto leo Jumamosi, amewaongoza wakenya kumwomboleza mkuu wa vikosi vya ulinzi marehemu Jenerali Francis Ogolla, aliyefariki Alhamisi kupitia ajali ya ndege katika...

Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan aomboleza vifo vya wanajeshi wa...

0
Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, ametuma risala za rambirambi kwa Rais William Ruto na raia wa Kenya, kufuatia kifo cha mkuu wa vikosi...

Mkuu wa vikosi vya ulinzi Francis Ogolla amefariki

0
Mkuu wa vikosi vya ulinzi hapa nchini KDF Jenerali Francis Ogolla, ameaga dunia leo Alhamisi katika ajali ya ndege eneo la Sindar kaunti ya...

Rais Ruto afanya mabadiliko katika vikosi vya ulinzi KDF

0
Rais William Ruto ametangaza kupandishwa vyeo pamoja na uteuzi mpya katika vikosi vya ulinzi vya Kenya-KDF. Kwenye taarifa, kiongozi wa taifa ambaye pia ni mkuu...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS