Home Tags KCSE

Tag: KCSE

Matukio ya Taifa : Mwanafunzi atembea kilomita 40 kuomba nafasi ya...

0
Mwanafunzi mmoja wa kike alilazimika kutembea kwa takriban kilomita 40 hadi katika shule ya upili ya wasichana ya St. Marys kuomba mwalimu mkuu kumruhusu...

KCSE 2023: Watahiniwa wote shule ya upili ya Oruba, Migori wazoa...

0
Watahiniwa wa shule ya upili ya wavulana ya Oruba katika kaunti ya Migori wamelalamikia matokeo duni waliopata katika mtihani wa kidato cha nne wa...

Machogu asikitishwa na idadi kubwa ya wanafunzi waliopata alama ya E

0
Waziri wa elimu, Ezekiel Machogu ameagiza uchunguzi ufanywe kuhusu matokeo duni ya zaidi ya watahiniwa 48,000 katika mtihani wa KCSE mwaka 2023. Akiongea katika...

Ndege iliyokuwa ikienda kubeba karatasi za mtihani yaanguka Wajir

0
Watu watatu wanaripotiwa kupata majeraha baada ya ndege aina ya Helicopter iliyokuwa ikienda kubeba karatasi za mtihani wa kidato za nne KCSE ilianguka kayika...

Wabunge wa Gusii walalamikia unyanyasaji wa maafisa wa KNEC

0
Wabunge kutoka eneo la Gusii sasa wanalalamikia kile wanachokitaja kuwa unyanyasaji unaotekelezwa na maafisa wa baraza la mitihani ya kitaifa KNEC dhidi ya watahiniwa...

Wasimamizi wa mitihani wasifiwa kwa utendakazi bora

0
Serikali imeweka mikakati kabambe kuhakikisha uadilifu unazingatiwa katika mitihani ya kitaifa. Katibu wa elimu ya msingi, Dkt. Belio Kipsang, amesema kufikia sasa hakuna visa...

Sikukuu ya upanzi wa miti kutoathiri mtihani wa kitaifa KCSE

0
Wizara ya Elimu imetangaza kwamba siku iliyotengwa na serikali kwa ajili ya upanzi wa miti nchini haitaathiri mtihani unaoendelea wa kidato cha nne, KCSE. Serikali...

Mtahiniwa kufanyia mtihani hospitalini Narok Kusini

0
Mtahiniwa mmoja wa mtihani wa kitaifa wa darasa la nane KCPE katika kaunti ndogo ya Narok Kusini, atafanyia mtihani wake hospitalini baada ya kushikwa...

Machogu: Wanafunzi ambao hawakuwa wamesajiliwa watafanya KCPE

0
Serikali imewaagiza wasimamizi wote wa mitihani ya kitaifa kuhakikisha kila mwanafunzi anafanya mtihani wa darasa la nane KCPE. Kupitia kwa taarifa, waziri wa elimu Ezekiel...

KUPPET yatishia kususia mitihani ya kitaifa

0
Chama cha Walimu wa Shule za Upili na Vyuo, KUPPET kimetishia kususia mtihani wa kitaifa wa KCSE na mitihani ya vyuo ambayo inatarajiwa kuanza...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS