Home Tags KCPE

Tag: KCPE

Watahiniwa wa KCPE kujiunga na sekondari Januari 15

0
Wanafunzi waliokalia mtihani wa darasa la nane mwaka huu, KCPE watajiunga na shule za upili Januari 15 mwaka ujao. Haya yametangazwa na Waziri wa Elimu...

Waziri Machogu kuzindua uteuzi wa wanafunzi wa kidato cha kwanza Jumatatu

0
Waziri wa Elimu Ezekiel Machogu ametangaza kuwa zoezi la uteuzi wa wanafunzi watakaojiunga na kidato cha kwanza litaanza Jumatatu ijayo Disemba 17. Waziri Machogu...

Vita vya zabuni vilichangia dosari za KCPE

0
Kiongozi wa upinzani Raila Odinga amesema Vita vya zabuni vilichangia dosari nyingi zilizoshuhudiwa katika mtihani  wa kitaifa wa darasa la nane KCPE  wa mwaka...

Matukio ya Taifa: Watahiniwa 352,782 wapata kati ya alama 300 na...

0
Jumla ya watahiniwa 8,523 walinakili zaidi ya alama 400 huku 352,782 wakinakili kati ya alama 300 na 399 katika mtihani wa kitaifa wa darasa...

Wanafunzi wa kike wanawiri katika Insha ya Kingereza na Lugha ya...

0
Somo la Insha ya kingereza na somo la lugha ya  ishara, ziliandikisha matokeo bora zaidi katika mtihani wa mwaka huu wa darasa la nane...

Machogu: Siombolezi KCPE

0
Waziri wa elimu Ezekiel Machogu amesema kwamba haombolezi mwisho wa mtihani wa kitaifa wa darasa la nane KCPE bali anafurahia kuwa kiungo muhimu wakati...

Mwanafunzi bora KCPE 2023 apata alama 428

0
Mwanafunzi bora katika mtihani wa shule ya msingi wa KCPE wa mwaka 2023 alipata alama 428.  Huo ndio ulikuwa mtihani wa mwisho wa KCPE kufanywa...

Matokeo ya mitihani ya KCPE na KPSEA kutangazwa Alhamisi

0
Matokeo ya mwaka 2023 ya mtihani wa kitaifa wa darasa la nane, KCPE na tathmini ya darasa la sita, KPSEA yanataraajiwa kutangazwa leo Alhamisi,...

Zinga : Mtihani wa Kitaifa wa KCPE watamatika

0
Mtihani wa kitaifa wa darasa la nane KCPE wakamilika ukizima mtaala wa 8-4-4 kupisha mtaala mpya ulianzishwa na serikali. Takriban watahiniwa milioni 1.4 waliukalia...

Mitihani ya KCPE na KPSEA yakamilika

0
Mitihani ya kitaifa ya darasa la nane KCPE na tathmini ya gredi ya sita ya KPSEA ya mwaka huu, imekamilika rasmi. Mtihani wa kitaifa wa...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS