Home Tags KBC

Tag: KBC

Kenya kukabiliana na Burundi leo kusaka tiketi ya Kombe la Dunia

0
Timu ya taifa ya soka ya Kenya-Harambee Stars, itashuka uwanjani Bingu mjini Lilongwe nchini Malawi leo alasiri kwa mechi ya tatu ya kundi F...

Mkewe Makokha afariki

0
Mke wa mwigizaji na mchekeshaji Makokha ambaye jina lake halisi ni Matayo Keya, kwa jina Purity Wambui amefariki. Wambui anasemekana kufariki mwishoni mwa juma...

Njambi Koikai afariki

0
Mtangazaji na mpiga muziki Njambi Koikai ameaga dunia. Koikai anaripotiwa kukata roho Jumatatu saa tatu usiku katika hospitali ya Nairobi ambapo alikuwa anapokea matibabu. Kabla...

Agnes Kalekye ateuliwa Mkurugenzi Mkuu wa shirika la KBC

0
Waziri wa habari, Mawasiliano na uchumi wa digitali Eliud Owalo, leo Ijumaa amemteua Agnes Kalekye Nguna kuwa mkurugenzi mkuu wa shirika la utangazaji nchini...

Shirika la KBC kupeperusha matangazo yote ya serikali

0
Katibu katika wizara ya teknolojia ya habari na mawasiliano, Edward Kisiang’ani, ameagiza wizara zote,Idara na mashirika yote ya serikali, kutoa Matangazo yao kupitia shirika...

Jitegemee: Nafasi ya wanaume katika kutetea haki za wanawake ni gani?

0
Jamii inapopigia debe usawa wa kijinsia, wanaume wana nafasi gani katika kutetea haki za wanawake? Ndio baadhi ya maswali ila katika makala haya, Bi....

Owalo akutana na mwenyekiti mpya wa bodi ya KBC

0
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Uchumi wa Dijitali Eliud Owalo leo Jumatatu asubuhi alikutana na Tom Mshindi ambaye ni mwenyekiti mpya wa bodi ya...

Wenyeji Ivory Coast kufungua AFCON dhidi ya Guinea Bissau Jumamosi

0
Makala ya 34 ya fainali za kombe la mataifa ya Afrika AFCON yatang'oa nanga Jumamosi, kwa mchuano wa ufunguzi wa kundi A kati ya...

KBC kupeperusha mubashara mechi 52 za AFCON

0
Shirika la utangazaji nchini Kenya,KBC limenunua haki miliki za kupeperusha kwenye runinga na kutangaza michuano yote 52 ya fainali za kuwania kombe la AFCON...

Uteuzi wa Samuel Maina kama kaimu Mkurugenzi Mkuu wa KBC watenguliwa

0
Samuel Maina kuanzia leo Jumanne, Disemba 19, 2023 siyo tena kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji Nchini Kenya, KBC.  Badala yake, Waziri wa Habari,...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS