Home Tags KBC CHANNEL 1

Tag: KBC CHANNEL 1

KBC kurusha mubashara mechi mbili za Ligi Kuu kila wiki

0
Wapenzi wa kandanda nchini Kenya watapata burudani isiyo na kifani kwa kupokea mubashara mechi mbili za Ligi Kuu ya FKF kila siku ya mechi. Kwenye...

KBC, FKF zasaini mkataba wa kurusha mubashara mechi za ligi kuu

0
Shirika la utangazaji nchini, KBC limesaini mkataba wa kupeperusha mubashara mechi za ligi kuu nchini Kenya, FKF bila malipo kuanzia mwishoni mwa juma hili...

KBC kurusha mubashara mechi za ligi ya Afrika

0
Runinga ya taifa KBC Channel 1 itapeperusha mubashara mechi zote 14 za ligi ya mabingwa barani Afrika maarufu kama African Football League. Pambano la ufunguzi...

Chipukeezy Show kuanza Septemba 11 kwenye runinga ya KBC

0
Kipindi cha mahojiano na vichekesho kinachojulikana kama "Chipukeezy Show" kitaanza kupeperushwa na runinga ya kitaifa KBC Jumatatu Septemba 11, 2023. Kitakuwa Kikionyeshwa kila Jumatatu...

Mikahawa yarudufu bei mjini Naivasha huku WRC Safari Rally ikitifua vumbi

0
Mikahawa mingi mjini Naivasha na viunga vyake imeongeza bei maradufu huku mashabiki wakifurika mjini Naivasha kushuhudia makala ya mwaka 2023 ya WRC Safari Rally...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS