Tag: KAWU
Shughuli zalemazwa katika viwanja vya ndege nchini
Abiria katika viwanja vya ndege hapa nchini, wametatizika kufuatia kuanza kwa mgomo wa chama cha wafanyakazi wa sekta ya safari za angani (KAWU), kupinga ...
Mgomo wa wafanyakazi wa viwanja vya ndege waahirishwa
Wafanyakazi wa viwanja vya ndege nchini chini ya chama chao KAWU wameahirisha mgomo wao uliokuwa umepangwa kuanza Jumatatu Agosti 19, 2024.
Katika taarifa katibu mkuu...
Wafanyakazi wa JKIA kuandaa mgomo kupinga kukodishwa kwa uwanja huo
Chama cha Wafanyakazi wa Viwanja vya Ndege nchini, KAWU kimetangaza kwamba wanachama wake wataandaa mgomo kulalamikia mpango wa kukodisha Uwanja wa Kimataifa wa Ndege...
KAWU yapinga mipango ya kukodishwa kwa uwanja wa JKIA
Hatua ya serikali ya kukodisha uwanja wa ndege wa kimataifa wa Jomo Kenyatta JKIA kwa wawekezaji wa kibinafsi, imepingwa vikali na chama cha wafanyakazi...