Home Tags Kaunti

Tag: Kaunti

Bajeti 2024/25: Kaunti kupokea shilingi bilioni 400.1

0
Serikali za kaunti zitapokea mgao wa shilingi bilioni 400.1 kwa mujibu wa bajeti ya mwaka 2024/25.  Hii ni asilimia 25.48 ya mapato halisi yaliyokusanywa na...

Ripoti ya EACC: West Pokot kidedea katika utoaji rushwa

0
Kaunti ya West Pokot ilikumbwa na visa vingi vya ulipaji rushwa mwaka wa 2023.  Kwa mujibu wa ripoti iliyotolewa na EACC leo Jumatano juu ya...

Gavana Ndeti alalamikia ucheleweshaji wa fedha kwa kaunti

0
Gavana wa kaunti ya Machakos Wavinya Ndeti ametoa wito kwa Wizara ya Fedha kutoa fedha kwa kaunti kwa wakati unaofaa ili kuziwezesha serikali za...

Uhamishaji wa majukumu yaliyogatuliwa, wadau wakutana

0
Kamati ya kiufundi ya uhusiano baina ya serikali, IGRTC leo Jumatano asubuhi ilishiriki mkutano wa ushauriano na taasisi za serikali na Baraza la Magavana,...

Gavana Nassir: Kaunti hazijapokea fedha za kukabiliana na athari za El...

0
Gavana wa kaunti ya Mombasa Abdulswamad Sheriff Nassir amekanusha madai kuwa kaunti zimepokea fedha za kukabiliana na athari za mvua ya El Nino inayoshuhudiwa...

Magavana: Tunahitaji shilingi bilioni 15 kukabiliana na athari za El Nino

0
Kaunti zinahitaji jumla ya shilingi bilioni 15 ili kuepusha, kupunguza na kukabiliana na athari za mvua ya El Nino. Kati ya shilingi hizo, Mwenyekiti wa...

Kaunti kupokea shilingi bilioni 32 Alhamisi

0
Mgao wa mapato wa shilingi bilioni 32 wa mwezi huu kwa kaunti utatolewa leo Alhamisi. Rais William Ruto anasema shilingi bilioni 2.3 za mwezi...

Uholanzi kushirikiana na kaunti 47 kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi

0
Serikali ya Uholanzi itashirikiana na kaunti zote 47 nchini kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabia nchi. Eneo la kiuchumi la kanda ya Ziwa ni...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS