Tag: Kampala
Tamasha la Roast and Rhyme kuandaliwa Jumapili hii nchini Uganda
Tamasha la Roast and Rhyme nchini Uganda linarejelewa Jumapili hii Novemba 3, 2024, katika eneo la ufuoni mwa ziwa Viktoria la Jahazi Pier, Munyonyo...
Mkutano wa pili wa tume ya kudumu ya Mozambique na Uganda...
Mkutano wa pili wa tume ya pamoja ya kudumu ya Uganda na Mozambique umeanza leo katika hoteli ya Mestil jijini Kampala nchini Uganda. Mkutano...
Mikie Wine amtetea Bobi Wine kwa kutohudhuria tamasha lake
Mwanamuziki wa Uganda Michael Mukwaya maarufu kama Mikie Wine amemtetea kakake mkubwa Bobi Wine kwa kutohudhuria tamasha lake wikendi iliyopita.
Mikie aliandaa tamasha katika eneo...
Vifo kutokana na maporomoko ya ardhi Uganda vyaongezeka
Idadi ya vifo vilivyotokana na maporomoko ya ardhi katika jaa la taka jijini Kampala nchini Uganda vimeongezeka hadi 21 kulingana na maafisa wa polisi.
Waokoaji...
Spika Wetang’ula ahudhuria kongamano la 27 la maspika wa jumuiya ya...
Spika wa bunge la taifa Moses Masika Wetang’ula yuko jijini Kampala nchini Uganda ambako aliwasili jana jioni kwa ajili ya kongamano la 27 la...
Norway kufunga ubalozi wake nchini Uganda
Taifa la Ulaya kaskazini la Norway limetangaza kwamba litafunga ubalozi wake jijini Kampala nchini Uganda mwakani.
Kupitia taarifa iliyotolewa na ubalozi wa Norway nchini Uganda...
Mudavadi awasili Uganda kwa kongamano la kahawa
Waziri aliye na mamlaka makuu Musalia Mudavadi amewasili jijini Kampala nchini Uganda kwa awamu ya pili ya kongamano la viongozi wa nchi za Afrika,...