Tag: Kamala Harris
Obama, mkewe Michelle wamuidhinisha Harris kugombea urais Marekani
Rais wa zamani wa Marekani Barack Obama na mkewe Michelle wamemuidhinisha Kamala Harris kugombea urais utakaoandaliwa nchini Marekani mwezi Novemba mwaka huu.
Harris anatarajiwa kuidhinishwa...
Harris amwambia Netanyahu ‘ni wakati’ wa kumaliza vita vya Gaza
Makamu wa Rais wa Marekani Kamala Harris - ambaye anatarajiwa kuwa mgombea mteule wa chama cha Democratic katika uchaguzi wa rais wa Novemba -...
Obama amsifia Biden kwa kujiondoa kwenye kinyang’anyiro cha urais
Aliyekuwa Rais wa Marekani Barack Obama amemsifia Rais Joe Biden kwa kujiondoa kwenye kinyang'anyiro cha urais mwaka huu akimtaja kuwa mzalendo halisi.
Katika taarifa, Obama...