Home Tags Kalonzo Musyoka

Tag: Kalonzo Musyoka

Wabunge wahimizwa kupinga mswada wa fedha 2024

0
Wabunge wametakiwa kupinga mswada wa kifedha wa  mwaka wa  2024, utakapowasilishwa katika bunge la taifa siku ya jumanne wiki ijayo. Viongozi wa Muungano wa Azimio la Umoja...

Muungano wa Azimio wasema utashiriki katika maandamano ya Madaktari

0
Muungano wa Azimio la Umoja One Kenya, leo Jumanne umesema kuwa zaidi ya wagonjwa 500 wameaga dunia kutokana na mgomo wa kitaifa wa madaktari...

Mgombea urais wa Azimio 2027: Kalonzo na Karua walumbana

0
Uhasama umezuka kati ya kinara wa chama cha Wiper Kalonzo Musyoka na Martha Karua wa Narc K miaka mitatu kabla ya kuandaliwa kwa uchaguzi...

Kalonzo na Eugene wasema upinzani utasalia imara bila Raila

0
Muungano wa Azimio utasalia imara hata ikiwa Raila Odinga atachaguliwa kuwa mwenyekiti mpya wa Tume ya Umoja wa Afrika, AUC.  Hii ni kwa mujibu wa...

Kalonzo aikosoa Kenya Kwanza kufuatia gharama ya juu ya maisha

0
Kiongozi wa chama cha Wiper Kalonzo Musyoka ameisuta serikali ya Kenya Kwanza kutokana na kile ambacho ametaja kuwa kodi kubwa wanayotozwa Wakenya.  Aidha amelalamikia kupandwa...

Karua: Mbona Kalonzo anaogopa Kamwene?

0
Viongozi Martha Karua wa chama cha Narc K na Kalonzo Musyoka wa chama cha Wiper wametofautiana kuhusiana na uundwaji wa Kamwene. Kamwene ni vuguvugu...

Matukio ya Taifa: Pendekezo la kupunguza gharama ya maisha lazua hisia...

0
Siku moja baada ya kamati ya mazungumzo ya kitaifa kuzindua ripoti yake yenye mapendekezo kadhaa; pendekezo la kupunguza gharama ya maisha limezua hisia tofauti...

Kalonzo na Wavinya wamshutumu Ruto kwa ubomozi wa Mavoko

0
Kiongozi wa chama cha Wyper Kalonzo Musyoka na Gavana wa Machakos Wavinya Ndeti, wamemshutumu Rais William Ruto kwa ubomozi uliotekelezwa katika shamba lenye utata...

Zinga: Matukio ya Siasa, Mwelekeo wa Serikali na Upinzani ni upi...

0
Kumekuwa na mengi ambayo yameshamiri ulimwengu wa siasa wiki iliyopita, Serikali imekuwa na yake huku upinzani ukileta yao, je huenda labda tukaona handisheki ? https://art19.com/shows/zinga/episodes/c618ce26-097f-401b-9f09-ce8ac321e5a5

Raila: Sijamuidhinisha Kalonzo kuwania urais 2027

0
Kiongozi wa muungano wa Azimio Raila Odinga amekanusha madai kuwa amemuidhinisha kinara wa chama cha Wiper Kalonzo Musyoka kuwa mgombea urais wa muungano huo...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS