Tag: KAKUMA REFUGEE CAMP
Serikali kuwarejesha wakimbizi zaidi ya 3,000 waliotoroka kambi ya Kakuma
Serikali imeweka mikakati ya kuwarejesha kambini wakimbizi 3,054 waliotoroka kutoka kambi ya Kakuma na kuhamia kaunti ndogo ya Ruiru.
Yamkini wakimbizi hao walitoroka kambi hiyo...
Ajira Digital yanufaisha vijana Turkana na wakimbizi wa Kakuma
Mpango wa ajira mitandaoni almaarufu Ajira Digital, umefika katika kaunti ya Turkana ambapo unafaidi vijana wa jamii ya eneo hilo na wakimbizi wanaoishi katika...
Chol Khan ashinda shindano la ulimbwende Afrika
Chol Khan wa asili ya Sudan Kusini mkazi wa kambi ya wakimbizi ya Dadaab ndiye mshindi wa shindano na ulimbwende Afrika almaarufu "Africa's Next...
Majambazi wavamia kambi ya Kakuma na kumuua mtu mmoja
Idadi isiyojulikana ya majambazi waliojihami kwa bunduki wamevamia kambi ya wakimbizi ya Kakuma siku ya Ijumaa na kumuua raia mmoja wa Sudan Kusini .
Shambulizi...