Home Tags Kakamega

Tag: Kakamega

Serikali kuu kukamilisha ujenzi wa hospitali ya rufaa ya Kakamega

0
Serikali kuu imeelezea dhamira yake ya kusaidia kukamilisha ujenzi wa Hospitali ya mafunzo na rufaa ya Kakamega, KT&RH.  Hayo yamesemwa na Waziri wa Afya Susan...

Kongamano la kimataifa la uwekezaji kuanza Jumanne Kakamega

0
Kongamano la kimataifa la uwekezaji linatarajiwa kuanza Jumanne katika Chuo Kikuu cha Masinde Muliro, kaunti ya Kakamega. Kongamano hilo litakalokamilika tarehe 22 mwezi huu linawaleta...

Mbunge Peter Salasya atakiwa kuomba msamaha

0
Wawakilishi wadi wa bunge la kaunti ya Kakamega, wanashinikiza mbunge wa Mumias Mashariki Peter Salasya kuomba msamaha. Wawakilishi wadi hao wakiongozwa na spika James Namantsi...

Oparanya amuunga mkono Khalwale kuwania Ugavana Kakamega 2027

0
Aliyekuwa Gavana wa kaunti ya Kakamega Wycliffe Oparanya ametangaza kumuunga mkono Seneta wa sasa wa kaunti hiyo Dkt. Boni Khalwale kuwania wadhifa wa ugavana...

Viongozi wa magharibi mwa Kenya walalamikia gharama ya juu ya maisha

0
Baadhi ya wabunge kutoka eneo la magharibi mwa nchi wameunyoshea utawala Kenya Kwanza kidole cha lawama kutokana na kupanda kwa gharama ya maisha.  Wakiongozwa na...

Mashindano ya CECAFA kwa chipukizi yaanza Kisumu kwa Rwanda kuwakwatua...

0
Rwanda imeanza Makala ya mwaka huu ya michuano ya kombe la CECAFA kwa vijana walio chini ya umri wa miaka 18 kwa ushindi, baada...

Kipute cha CECAFA kutifua vumbi Jumamosi magharibi ya Kenya

0
Mashindano ya kuwania kombe la CECAFA kwa chipukizi wasiozidi umri wa miaka 18 yatang’oa nanga Jumamosi katika kaunti za Kakamega na Kisumu. Mashindano hayo tatafunguliwa...

Wakazi wa Milimani, Kakamega walalamikia bomoabomoa

0
Baadhi ya wakazi walioagizwa na serikali kuhama makazi yao sehemu ya Milimani mjini Kakamega ili kupeana nafasi ya ujenzi wa nyumba za nafuu na...

Kamati ya Fedha ya Seneti yazuru Kakamega

0
Kamati ya Fedha ya bunge le Seneti jana Jumatatu ilizuru kaunti ya Kakamega kutathmini hali ya madeni inayodaiwa kaunti hiyo na ikiwa miradi mbalimbali...

Wachimba migodi wawili wafariki Kakamega

Wachimba migodi wawili wa umri wa makamo wameripotiwa kufariki baada ya kuta za mgodi walimokuwa wakichimba kuporomika na kuwaangukia katika eneo la Ikolomani, kaunti...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS