Home Tags Kakamega County

Tag: Kakamega County

Kakamega yaandaa kongamano la uwekezaji

0
Kaunti ya Kakamega inaandaa kongamano la kimataifa la uwekezaji lililoanza leo Jumanne katika Chuo Kikuu cha Masinde Muliro. Kongamano hilo la siku nne litamalizika Ijumaa...

Wetang’ula: Nitaboresha umoja uliodhihirika kati ya viongozi wa magharibi

0
Spika wa bunge la taifa Moses Masika Wetang'ula amejitolea kuboresha umoja ambao anasema ulidhihirika kati ya viongozi wa magharibi. Kulingana naye, viongozi waliochaguliwa katika eneo...

Isongo yapatiwa walimu wapya, wavamizi waonywa

0
Shule ya sekondari ya Mtakatifu Gabriel Isongo ilipata walimu wapya 17 waliotumwa kuhudumu huko na tume ya kuajiri walimu nchini TSC. Hii ni baada ya...

Maradhi yasiyojulikana shuleni Eregi

0
Wanafunzi zaidi ya 60 wa shule ya upili ya wasichana ya Eregi ambayo iko katika kaunti ya Kakamega wamelazwa katika hospitali mbalimbali baada ya...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS