Home Tags Kajiado

Tag: Kajiado

Wafungwa wa 85 wa Ethiopia walio gerezani Kajiado wasusia chakula

0
Wafungwa 85 raia wa Ethiopia walio katika gereza la Illasit, kaunti ya Kajiado wakisubiri kurejeshwa nyumbani  wamesusia chakula. Wafungwa hao, wakiwemo wanaume na wanawake, walikamatwa...

Kaunti ya Kajiado yapokea ambulensi za pikipiki

0
Ni afueni kwa kina mama wajawazito katika sehemu za mashambani kaunti ya Kajiado, kwani watapokea huduma za matibabu kwa urahisi baada ya kuanzishwa kwa...

Watu watano wafariki katika ajali ya barabarani Kajiado

0
Watu watano walifariki Alhamisi jioni, huku wengine watatu wakipata majeraha mabaya kufuatia ajali ya barabarani iliyotokea katika eneo la Maili Tisa, Kaunti ya Kajiado. Ajali...

Raundi ya kwanza ya utoaji chanjo ya polio yaanza, watoto milioni...

Wizara ya Afya kwa ushirikiano na Shirika la Afya Duniani, WHO imeanzisha raundi ya kwanza ya kampeni ya utoaji chanjo ya polio. Kampeni hiyo...

Jamii zinazoishi mpakani zatakiwa kutangamana kwa amani

0
Waziri mwenye mamlaka makuu Musalia Mudavadi ameelezea haja ya jamii zinazoishi mpakani kudumisha amani. Akizungumza alipofungua rasmi kongamano kuhusu utangamano wa amani miongoni mwa jamii...

Mbunge wa Kitui Mashariki Nimrod Mbai akamatwa

1
Mbunge wa Kitui Mashariki Nimrod Mbai amekamatwa na maafisa wa polisi kwa kitendo cha kumzaba kofi afisa wa kampuni ya umeme nchini, KPLC. Taarifa zinaashiria...

Mama awateketeza wanawe kaunti ya Kajiado

0
Mwanamke mmoja mwenye umri wa makamu ameteketeza nyumba yake na kusababisha vifo vya wanawe wawili wa umri wa miaka miwili na kumi mtawalia. Kisa hicho...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS