Home Tags Kahawa

Tag: Kahawa

Serikali yawazia kufuta madeni ya wakulima wa kahawa

0
Naibu Rais Rigathi Gachagua amewahakikishia wakulima wa kahawa juu ya kupatikana kwa suluhu kwa changamoto za kifedha zinazowakumba ikiwa ni pamoja na uwezekano wa...

Wakulima wa kahawa kufurahia malipo bora

0
Wakulima wa kahawa nchini wanatazamiwa kufurahia mavuno ya walichopanda baada ya kubainika kuwa watakuwa wanapokea shillingi 80 kwa kila kilo ya zao hilo.  Hii ni...

Chelugui: Serikali italainisha sekta ya kahawa

0
Waziri wa ustawi wa vyama vya ushirika, biashara ndogo na za kadri Simon Chelugui, ameahidi kutekeleza marekebisho muafaka ya kulainisha sekta ya kahawa nchini. Kulingana...

Ruto: Mabadiliko katika sekta ya kahawa yanazaa matunda

0
Mabadiliko yanayotekelezwa na serikali ya Kenya Kwanza katika sekta ya kahawa yameanza kuzaa matunda.  Rais William Ruto anasema mabadiliko hayo yamehakikisha mkulima wa zao hilo...

Wakulima wa kahawa watengewa shilingi bilioni 4 zaidi

0
Baraza la Mawaziri limeidhinisha shilingi bilioni 4 zaidi kwa ajili ya wakulima wa kahawa nchini.  Hii inamaanisha wakulima sasa watapokea shilingi 80 kwa kila kilo...

Maonyesho ya kilimo ya kahawa Nyeri kuandaliwa Novemba

0
Wakulima wa kahawa katika kaunti ya Nyeri watapata fursa ya kutangamana na wanunuzi wa kahawa yao moja kwa moja wakati wa maonyesho ya kilimo...

Gachagua: Hatutapumzika hadi tuifanyie mabadiliko sekta ya kahawa

0
Juhudi za kuifanyia sekta ya kahawa mabadiliko kwa manufaa ya wakulima wa zao hilo zinaendelea vizuri.  Naibu Rais Rigathi Gachagua ambaye amekuwa mstari wa mbele...

Gachagua: Mchakato wa kuifanyia mabadiliko sekta ya kahawa utachukua muda

0
Naibu Rais Rigathi Gachagua amesema mchakato wa kuifanyia mabadiliko sekta ya kahawa nchini utachukua muda mrefu na sasa anatoa wito kwa wakulima wa zao...

Kahawa: Gachagua asema wamejifunza mengi kutoka kwa Colombia

0
Naibu Rais Rigathi Gachagua anasema wamejifunza mengi kutoka kwa Colombia kuhusiana na masuala yanayofungamana na kilimo cha kahawa. Gachagua anaongoza ujumbe unaojumuisha Mawaziri Mithika Linturi...

Wakulima kurejelea ukulima wa kahawa Mbooni

0
Wakulima zaidi ya 1,000 wa Chama cha Ushirika cha Wakulima wa Kahawa cha Kikima katika eneo la Mbooni kaunti ya Makueni wameahidi kurejelea shughuli...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS