Tag: Justice Monica Kivuti
Mazishi ya hakimu Monica Kivuti yaandaliwa Machakos
Mazishi ya hakimu mwandamizi aliyeuawa kwa kupigwa risasi akiwa kazini katika mahakama ya Makadara Monica Kivuti yameandaliwa Machakos.
Kivuti alifariki Jumanne wiki jana akipokea matibabu...
Jaji Mkuu Martha Koome aongoza maombolezi ya Hakimu Kivuti
Jaji Mkuu Martha Koome anaongoza maafisa wa idara ya mahakama na wahusika wengine katika maombolezi ya kitaifa ya Hakimu Mkuu Monica Kivuti.
Jaji Mkuu akiwa...