Tag: Justice Lawrence Mugambi
Jopo la majaji labuniwa kusikiliza kesi ya kupinga kuvunjwa kwa bunge
Kitengo cha mawasiliano cha idara ya mahakama kimetangaza kubuniwa kwa jopo la majaji watano ambalo litasikiliza kesi zilizojumuishwa za kupinga kuvunjwa kwa bunge.
Jopo hilo...
Muda wa agizo la mahakama la kusimamisha jopo la kutathmini deni...
Mahakama kuu imeongeza muda wa kusimamisha kikosi kazi kilichoteuliwa na Rais William Ruto kutathmini deni la taifa la Kenya.
Jaji Lawrence Mugambi alitoa maagizo hayo...
Wanajeshi kutumwa katika kila kaunti kusaidia polisi kuimarisha usalama
Waziri wa ulinzi nchini Kenya Aden Duale amesema kwamba wanajeshi wa KDF watatumwa katika kaunti zote 47 kusaidia maafisa wa polisi kudumisha amani na...
Wafungwa kuhudhuria mazishi ya wapendwa wao
Wafungwa katika magereza ya Kenya wana kila sababu ya kutabasamu kwani sasa wanaweza kupata fursa ya kuhudhuria mazishi ya wapendwa wao.
Hili litawezekana tu kwa...
Majaji wa kusikiliza kesi ya kupinga sheria ya fedha wateuliwa
Jaji Mkuu Martha Koome ameteua jopo la majaji watatu litakalosikiliza na kuamua kesi ya kupinga sheria ya fedha ya mwaka 2023.
Jaji David Majanja ataongoza...