Home Tags Julius Bitok

Tag: Julius Bitok

Bitok: Uchapishaji wa vitambulisho vipya kuharakishwa

0
Serikali imesema itakamilisha shughuli ya uchapishaji wa vitambulisho vipya vya kitaifa katika kipindi cha mwezi mmoja ujao. Katibu wa Idara ya Uhamiaji na Huduma...

Bitok: Wakenya kupata Pasipoti katika muda wa siku tatu

Katibu katika idara ya uhamiaji na huduma kwa wananchi Julius Bitok, amesema wakenya wataweza kupata hati za kusafiria katika muda wa siku tatu baada...

Wakenya kupata pasipoti kwa muda wa wiki tatu kuanzia Aprili

0
Idara ya Uhamiaji imetangaza kuwa Wakenya wanaotuma maombi ya pasipoti kuanzia mwezi Aprili mwaka huu watakapata stakabadhi hiyo muhimu ndani ya majuma matatu. Katibu katika...

Julius Bitok: Wakenya 58,330 hawajachukua Pasipoti zao

0
Katibu katika wizara ya uhamiaji Julius Bitok, ametoa wito kwa wakenya ambao tayari wamepokea arifa za kuwafahamisha kuwa pasipoti zao ziko tayari, kwenda kuzichukua...

Idadi ya raia wa kigeni wanaozuru Kenya yaongezeka

0
Idadi ya raia wa kigeni ambao wametuma maombi ya kuzuru taifa hili kupitia mfumo mpya wa kielektoniki, imefika 132,000 katika muda wa wiki moja...

Uzinduzi wa kitambulisho cha kidijitali umeahirishwa

0
Uzinduzi wa Maisha Namba na kitambulisho cha kidijitali uliokuwa uandaliwe siku ya Jumatatu ijayo, umeahirishwa, hayo ni kulingana na katibu katika idara ya uhamiaji...

Serikali na mashirika ya kijamii kuelimisha umma kuhusu vitambulisho vipya

0
Serikali imeshirikiana na mashirika ya kijamii katika kuelimisha umma kuhusu vitambulisho vipya vya kidijitali vilivyopendekezwa. Hii inafuatia mkutano ulioandaliwa Jijini Nairobi kati ya katibu katika...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS