Home Tags Judiciary

Tag: Judiciary

Idara ya mahakama kuimarisha usalama wa majaji

0
Idara ya mahakama imehaidi kuimarisha usalama wa majaji na maafisa wake wakiwa mahakamani. Msajili Mkuu wa Idara hiyo Winfrida Mokaya ametoa hakikisho hilo Alhamisi...

Kundi la sekta mbalimbali la kushughulikia kesi za kimazingira lazinduliwa

0
Jaji Mkuu Martha Koome amezindua kundi la maafisa wa sekta mbalimbali kwa lengo la kuhakikisha upatikanaji wa haki katika maswala ya mazingira na mabadiliko...

Raila azungumzia mkutano kati ya Ruto na Jaji Mkuu Koome

0
Kiongozi wa upinzani Raila Odinga ametoa maoni yake kuhusu tangazo la Jaji Mkuu Martha Koome kwamba wameomba kukutana na Rais William Ruto. Ombi la jaji...

Ruto asema yuko tayari kujadiliana na Jaji Mkuu Koome

0
Rais William Ruto amesema kwamba yuko tayari kujadiliana na maafisa wa idara ya mahakama wakiongozwa na Jaji Mkuu Martha Koome ili kutatua suala la...

Raila aitaka serikali kukoma kulaumu idara ya mahakama

0
Kwa mara nyingine, kiongozi wa muungano wa Azimio la Umoja One Kenya na chama cha ODM Raila Odinga ameitaka serikali kukoma kulaumu idara ya...

Matukio ya Taifa: Viongozi wa Siasa wahimizwa kuleta Uwiano na Utangamano

0
Viongozi wa kisiasa wamehimizwa kuleta uwiano na utangamano kati ya nguzo tatu kuu za serikali. Akizungumza na meza ya matukio ya taifa, Joseph Simekha,...

Mahakama zaandaa shughuli za kuzindua mwezi wa huduma kwa watoto

0
Vituo mbali mbali vya mahakama nchini vimeandaa shughuli za kufana za kuzindua mwezi wa huduma kwa watoto. Idara ya mahakama ilitenga mwezi Novemba kuwa mwezi...

Jaji Mkuu Koome atoa maelekezo ya kuharakisha malipo ya faini na...

0
Jaji Mkuu Martha Koome ametangaza maelekezo mapya ambayo yanadhamiriwa kuharakisha ulipaji wa faini na dhamana. Maelekezo haya yanaondoa wasiwasi wanayokuwa nayo watumizi wa mahakama na...

Mfumo wa kuweka kesi kidijitali wazinduliwa Mandera

0
Jaji mkuu Martha Koome amezindua mfumo wa kuweka kesi mahakamani kwa njia ya kidijitali pamoja na kituo cha kusuluhisha mizozo almaarufu Maslaha. Alizindua pia...

Hatima ya sheria ya fedha mwaka 2023 kuamuliwa na mahakama

0
Mahakama ya Rufaa inatarajiwa kutoa uamuzi leo Ijumaa kuhusu kesi iliyowasilishwa na Waziri wa Fedha Profesa Njuguna Ndung'u kupitia kwa Mwanasheria Mkuu Justin Muturi...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS