Home Tags Jubilee Party

Tag: Jubilee Party

Wawakilishi wadi wa chama cha Jubilee waahidi kuunga mkono serikali

0
Wawakilishi wadi waliochaguliwa kwa tiketi ya chama cha Jubilee wameahidi kuunga mkono serikali ya Kenya Kwanza. Viongozi hao kutoka maeneo mbalimbali nchini walifanya mkutano na...

Mrengo wa Jubilee wa Uhuru waidhinisha ripoti ya uwiano wa kitaifa

0
Chama cha Julibee kinachoongozwa na Rais Mstaafu Uhuru Kenyatta, kimeidhinisha ripoti ya maridhiano ya kitaifa. Mivutano ya mara kwa mara imesababisha chama cha Jubilee kugawanyika...

Mzozo wa Jubilee waendelea, mrengo wa Uhuru wakimbia ...

0
Mzozo wa chama tawala cha zamani Jubilee unaonekana kuendelea kutokota, baada ya mrengo wa Rais mstaafu Uhuru Kenyatta, kuwasilisha kesi katika mahakama ya Milimani...

Kega atishia kwenda mahakamani Jubilee isipohusishwa kwenye majadiliano

0
Mbunge wa bunge la Afrika Mashariki Kanini Kega ametishia kuelekea mahakamani iwapo chama cha Jubilee hakitahusishwa kwenye mazungumzo ya pande mbili kati ya muungano...

Sabina Chege apuuzilia mbali wapinzani

Mwenyekiti wa chama cha Jubilee Sabina Chege amepuuzilia mbali wanaompinga akisema anatosha kuongoza chama hicho cha Jubilee kufuatia kuondoka kwa aliyekuwa rais Uhuru Kenyatta. Chege...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS