Home Tags JSC

Tag: JSC

Jaji Majanja achaguliwa tena kuwa mwanachama wa JSC

0
Jaji David Majanja amechaguliwa tena kuwa mwanachama wa Tume ya Huduma za Mahakama, JSC na atawakilisha Mahakimu na Chama cha Majaji nchini, KMJA kulingana...

Mwakilishi wa LSK katika JSC aapishwa

0
Wakili Samson Omwanza Ombati aliapishwa leo kama mwanachama wa tume ya huduma za mahakama JSC anayewakilisha chama cha mawakili nchini LSK. Hafla fupi ya kumwapisha...

Majaji 20 wa Mahakama ya Juu waapishwa

0
Rais William Ruto  Leo Jumanne aliongoza hafla ya kuapishwa kwa majaji 20 wa Mahakama ya Juu katika Ikulu ya Nairobi. Kuapishwa kwa majaji hao kulifanyika...

Ruto awateua majaji 20

0
Rais William Ruto amewateua majaji 20 walioidhinsihwa na tume ya huduma za mahakama(JSC). Majaji walioteuliwa ni Moses Ado Otieno, Alice Chepngetich Bett Soi, Benjamin Mwikya...

JSC yatangaza nafasi za kazi 91

0
Tume Huduma za Mahakama Nchini, JSC imetangaza nafasi za kazi 91 ikiwemo nafasai ya mwenyekiti, afisa wa jopo la rufaa, sheria na elimu zikiwa...

Msajili Mkuu wa Mahakama kuapishwa Jumatatu

0
Msajili Mkuu wa Mahakama Winfridah Boyani Mokaya ataapishwa siku ya Jumatatu kuanzia saa nne asubuhi. Mokaya ana tajriba ya uanasheria ya zaidi ya miaka 27. Anarithi...

Mokaya Frida Boyani ateuliwa Msajili Mkuu wa Mahakama

0
Tume ya huduma za Mahakama JSC, imemteua Mokaya Frida Boyani kuwa msajili Mkuu wa idara ya Mahakama. Mokaya sasa anachukua wadhifa ulioachwa wazi na Ann...

JSC yaanza mchakato wa kujaza wadhifa wa Msajili Mkuu wa Mahakama

0
Tume ya huduma za mahakama (JSC), imeanza zoezi la kuwasaili watu saba waliopendekezwa kuteuliwa katika wadhifa wa msajali mkuu wa mahakama. Saba hao walichaguliwa kutoka...

Wagombea 7 waorodheshwa kwa wadhifa wa msajili mkuu wa mahakama

0
Wagombea saba wameorodheshwa na Tume ya Huduma za Mahakama, JSC kuwania wadhifa wa Msajili Mkuu wa Mahakama.  Mahojiano ya saba hao yamepangwa kufanyika Machi, 18...

JSC: Jihadhari dhidi ya walaghai wenye nia ya kuwapora pesa

0
Tume ya Huduma za Mahakama, JSC imetoa wito kwa Wakenya kuchukua tahadhari dhidi ya watu inaosema wanajisingizia kuwa wafanyakazi wa tume hiyo na wanaowahadaa...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS