Home Tags Joseph Irungu

Tag: Joseph Irungu

Jowie ahukumiwa kifo

0
Joseph Irungu maarufu kama "Jowie" amehukumiwa kifo baada ya kupatikana na hatia ya kumuua mfanyabiashara Monica Kimani mnamo mwaka 2018. Akizungumza wakati wa kutoa hukumu...

Jowie azindua wimbo ‘Nakuabudu’ baada ya kupatikana na hatia ya kumuua...

0
Joshua Irungu almaarufu "Jowie" amezindua wimbo kwa jina "Nakuabudu."  Jowie alizindua wimbo huo saa chache baada ya mahakama kumpata na hatia ya kumuua mfanyabiashara Monicah...

Mahakama: Jowie ndiye aliyemuua Monicah Kimani

0
Mahakama imebaini kuwa Joseph Irungu almaarufu Jowie ndiye aliyemuua mfanyabiashara Monicah Kimani.  Marehemu Kimani alipatikana ameuawa katika makao yake ya Lamuria Gardens, karibu na barabara...

Mauaji ya Monicah Kimani: Mahakama yatoa hukumu

0
Jaji Grace Nzioka ambaye pia ni Jaji Msimamizi wa Mahakama ya Naivasha kwa sasa anasoma hukumu katika kesi inayowakabili  mwanahabari Jackie Maribe na mpenzi...

Kesi kuhusu mauaji ya Monica Kimani kuamuliwa Disemba 15

0
Mahakama Kuu imeahirisha kutoa hukumu dhidi ya Joseph Irungu almaarufu Jowie na Jackie Maribe kufuatia mauaji ya mwanabiashara Monica Kimani yaliyotekelezwa mwezi Septemba mwaka...

Jackie Maribe na Joseph Irungu kufahamu hatima yao tarehe sita Oktoba

0
Justice Grace Nzioka wa mahakama kuu, ana muda wa miezi miwili na nusu kutoa hukumu kuhusu kesi ya mauaji ya mwanabiashara Monica Kimani, aliyeuawa...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS