Home Tags Jose Chameleone

Tag: Jose Chameleone

Kakake Jose Chameleone afariki

0
Mwanamuziki Jose Chameleone anaomboleza kifo cha kakake mkubwa kwa jina Humphrey Mayanja. Chameleone alichapisha picha ya Humphrey kwenye akaunti yake ya Instagram na kuweka...

Chameleone atumbuiza kwenye Afrofest baada ya kutoka hospitalini

0
Video ambayo imekuwa ikisambazwa mitandaoni inamwonyesha mwanamuziki wa Uganda Jose Chameleone akiimba jukwaani katika tamasha ya Afrofest nchini Canada. Lakini anaonekana akiwa ameketi kwenye kiti...

Jose Chameleone asema anaendelea kupata nafuu

0
Mwanamuziki wa Uganda Joseph Mayanja maarufu kama Jose Chameleone ametoa taarifa kuhusu hali yake ya kiafya ambayo anasema inazidi kuimarika. Chameleone ambaye amelazwa hospitalini huko...

Jose Chameleone na kakake walazwa hospitalini Amerika

0
Baba ya mwanamuziki wa Uganda Jose Chameleone Gerald Mayanja amethibitisha habari kwamba wanawe wawili, Jose Chameleone na Humphrey, wamelazwa hospitalini nchini Amerika. Mzee huyo alikuwa...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS