Home Tags Johnson Sakaja

Tag: Johnson Sakaja

Vijana wa ODM kaunti ya Nairobi wawafokea MCAs wake ...

0
Vijana wa chama cha ODM kaunti ya Nairobi wamewafokea waakilishi wadi wa chama hicho kwa usaliti na kufanya kazi na serikali ya Gavana Johnson...

Serikali ya kaunti ya Nairobi kuwahamisha waathiriwa wa mafuriko

0
Gavana wa kaunti ya Nairobi Johnson Sakaja, ameagiza kuhamishwa kwa zaidi ya wakazi 3,000 wa jiji hilo ambao wameathiriwa na mafuriko, kufuatia mvua kubwa...

Maduka 120 ya kuuza vileo yafungwa eneo bunge la Starehe

0
Zaidi ya maduka 120 ya kuuzia vileo yamefungwa na wamiliki 25 wa maduka hayo kutiwa nguvuni,  katika eneo bunge la Starehe kaunti ya Nairobi...

Maafisa Wakuu watatu wa kaunti ya Nairobi watimuliwa

0
Gavana wa kaunti ya Nairobi Johnson Sakaja, amewafurusha maafisa wakuu wa kaunti hiyo kutokana na utepetevu kazini. Kupitia kwa taarifa siku ya Jumatano iliyotiwa Saini...

Gavana Sakaja atozwa faini ya nusu milioni na kamati moja ya...

0
Gavana wa Nairobi Johnson Sakaja, ametozwa faini ya shilingi 500,000 kwa kukaidi agizo la kufika mbele ya kamati ya Seneti kuhusu barabara, uchukuzi na...

Afisa wa kaunti ya Nairobi aliyetoweka apatikana

0
Osman Khalif ambaye ni Msaidizi wa Gavana wa Nairobi Johnson Sakaja, aliyeripotiwa kuwa ametoweka siku 17 zilizopita amepatikana. Mnamo siku ya Jumatatu, wakili wa familia...

Kitengo cha matibabu ya macho chafunguliwa hospitali ya Mama Lucy Kibaki

0
Gavana wa kaunti ya Nairobi Johnson Sakaja amefungua rasmi kitengo cha matibabu ya macho katika  hospitali ya Mama Lucy Kibaki jijini Nairobi. Gavana Sakaja alisema...

Gavana Sakaja kuwalipa fidia wachuuzi

0
Gavana wa kaunti ya Nairobi Johnson Sakaja amelaani vikali hatua ya askari wa baraza la jiji la Nairobi ya kuharibu na kutwaa toroli za...

Kituo cha mabasi cha Green Park kubadilishwa na kujengwa jumba la...

0
Kituo cha mabasi cha Green park jijini  Nairobi sasa kitabadilishwa na kuwa kituo cha kuandaa mikutano. Gavana wa jiji la Nairobi Johnson Sakaja amesema mradi...

Sakaja achaguliwa kuwa Makamu Mwenyekiti wa Kamati Ongozi ya Miji ya...

0
Gavana wa Nairobi Johnson Sakaja amechaguliwa kuwa Makamu Mwenyekiti wa Kamati Ongozi ya C40, hii ikiwa taasisi inayotoa mwelekeo kwa mtandao wa dunia wa...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS