Tag: John Mbadi
Mbadi: Serikali italipa madeni yote
Waziri wa fedha John Mbadi, ametoa ahadi kwamba serikali italipa madeni yote inayodaiwa.
Waziri huyo alidokeza kuwa madeni hayo ambayo ni jumla ya shilingi bilioni...
Kenya imebuni mazingira bora ya biashara, asema Mvurya
Waziri wa uwekezaji, biashara na viwanda Salim Mvurya, leo Ijumaa aliungana na mwenzake wa Fedha John Mbadi, kuhudhuria kongamano la 24 dhidi ya ulalungi...
Mbadi akabidhiwa rasmi mikoba ya Wizara ya Fedha
Waziri Mpya wa Fedha John Mbadi amechukua rasmi hatamu za uongozi wa wizara hiyo.
Mbadi alikabidhiwa mikoba ya wizara hiyo na mtangulizi wake Prof. Njuguna...
Sitaongeza ushuru, asema waziri mteule wa Fedha John Mbadi
Waziri mteule wa Fedha John Mbadi, amesema ataelekeza juhudi zake katika kufanyia mabadiliko Halmashauri ya Ukusanyaji Ushuru nchini KRA, kuhakikisha inakusanya mapato yatakayowezesha serikali...