Home Tags Joe Biden

Tag: Joe Biden

Bunge la Marekani laiwekea ICC vikwazo

0
Bunge la Wawakilishi la Marekani limepiga kura kupitisha sheria ambayo itaiwekea vikwazo Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) baada ya mwendesha mashtaka wake kuomba...

Rais Ruto aandaliwa dhifa na Biden ikuluni White House

0
Rais William Ruto aliandaliwa dhifa ya chajio kwenye Ikulu ya White House Alhamisi usiku na mwenyeji wake Joe Biden. Dhifa hiyo ilifuatia mazungumzo ya kina...

Kenya kupokea helikopta 16 kutoka kwa serikali ya Marekani kufikia mwaka...

0
Kenya inatarajiwa kupokea helikopta 16 zilizotengenezewa Marekani nane zikiwa aina ya Hueys na nane aina ya MD-500s kati ya mwaka 2024 na 2025, kulingana...

Ruto akutana na Biden katika ikulu ya White House

0
Rais William Ruto alifanya mazungumzo na mwenzake wa Marekani Joe Bidden kwenye ikuli ya White House nchini Marekani Jumatano usiku. Ulikuwa mkutano wa kwanza wa...

Biden atumai vita vitasitishwa Gaza kabla ya mwezi wa Ramadhan

Rais Joe Biden wa Amerika amesema anatumai kuwa makubaliano ya kusitisha vita huko Gaza, yatafikiwa kabla ya kuanza kwa mwezi mtukufu Ramadhan. Maadhimisho ya...

Rais Ruto apokea mwaliko kuzuru Marekani

0
Rais wa Marekani Joe Biden na mkewe Jill Biden watakuwa wenyeji wa rais William Ruto na mkewe Mama Rachel Ruto, kwenye ziara rasmi nchini...

Israel yakaa shingo ngumu Gaza

0
Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu amekataa abadan kusitisha mashambulizi katika ukanda wa Gaza licha shinikizo kutoka kwa washirika wa karibu Marekani. Netanyahu alinukuliwa...

Israel Gaza: Biden aitaka Israel kuwalinda raia wa Rafah

0
Rais wa Marekani Joe Biden amesema mashambulizi ya Israel huko Rafah "hayapaswi kuendelea bila mpango wa kuaminika wa kuhakikisha usalama" wa zaidi ya Wapalestina...

Misri na Marekani zakubali kuruhusu msaada kuingia Gaza

0
Rais Joe Biden wa Marekani na Abdel Fattah al-Sisi wa Misri wamekubali kufungua kivuko cha Rafah ili kuruhusu hadi lori 20 za misaada kuingia...

Rais Biden kuzuru Israel Jumatano

0
Rais wa Marekani Joe Biden atazuru Israel siku ya Jumatano, waziri wa mambo ya nje wa Marekani Antony Blinken ametangaza kutoka Israel. Tangazo kwamba Rais...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS