Home Tags JKIA

Tag: JKIA

Barabara ya ndege yafungwa JKIA

0
Barabara ya ndege imefungwa katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta, JKIA.  Mamlaka ya Kusimamia Viwanja vya Ndege nchini, KAA inasema hatua hiyo...

Brussels Airlines yarejesha safari zake Nairobi

0
Shirika la ndege la Brussels Airlines limerejesha safari zake za moja kwa moja jijini Nairobi baada kusitisha safari hizo kwa kipindi cha karibu mwongo...

Elias Kiptum afungwa miezi 18 kwa kupanga kuchafua sifa ya wanariadha...

0
Elias Kiptum Maindi amehukumiwa kifungo cha mwaka mmoja unusu gerezani kwa kosa la kupanga kuchafua sifa za wanariadha wa Kenya kupitia kwa sakata bandia...

Skyward Express yazindua safari za ndege kutoka JKIA hadi Mombasa

0
Waziri wa Barabara na Uchukuzi Kipchumba Murkomen, amepongeza kampuni ya ndege ya Skyward Express kwa kuzindua safari za ndege kutoka Uwanja wa Ndege wa...

Kenya Airways yarejesha safari za moja kwa moja kati ya Nairobi...

0
Safari za moja kwa moja za ndege za kampuni ya Kenya Airways kati ya Nairobi nchini Kenya na jiji la Mogadishu nchini Somalia zimerejelewa...

Murkomen: Uwanja wa ndege wa JKIA hautakosa umeme tena

0
Waziri wa barabara na uchukuzi Kipchumba Murkomen,  amehakikishia taifa kwamba hakutakuwa na tatizo la kupotea kwa umeme tena katika uwanja wa ndege wa kimataifa...

Waziri Murkomen ataka polisi wachunguze kukatika kwa umeme kila mara JKIA

0
Waziri wa uchukuzi Kipchumba Murkomen sasa anataka huduma ya taifa ya polisi ichunguze kukatika kwa umeme kila mara katika uwanja wa ndege wa Jomo...

Raia wawili wa kigeni wakamatwa na pembe za ndovu

0
Raia wa Indonesia amekamatwa akiwa na kilo 38.4 ya pembe za ndovu za thamani ya shilingi milioni kumi katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa...

Wanaouza miraa ughaibuni wateta uamuzi wa kufurushwa JKIA

0
Wauzaji wa miraa nje ya nchi wamelalama kufuatia uamuzi wa mamlaka ya viwanja vya ndege nchini, KAA kuwafurusha kutoka Uwanja wa Ndege wa Kimataifa...

Maafisa wa DCI wanasa mihadarati katika uwanja wa ndege wa JKIA

0
Maafisa wa polisi kutoka kitengo cha DCI wamenasa mihadarati aina ya methamphetamine, katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta. Kulingana na  DCI, mihadarati...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS