Home Tags Japani

Tag: Japani

Kenya yapata shilingi bilioni 350 kufuatia ziara ya Rais Ruto nchini...

0
Makubaliano ya fedha yenye thamani ya shilingi bilioni 350 yametiwa saini wakati wa ziara ya Rais William Ruto nchini Japani.  Makubaliano hayo yatasaidia miradi na...

Ruto ainadi Kenya kwa wawekezaji Wajapani

0
Rais William Ruto ametoa wito kwa kampuni za Kijapani kuwekeza katika sekta za utengenezaji bidhaa, kilimo na teknolojia nchini Kenya.  Amesema utekelezaji wa Ajenda ya...

Ruto asema mfumo wa dijitali utasaidia kukomesha ufisadi

0
Serikali haitawakubalia watu wafisadi kuchelewesha uwekaji wa huduma za serikali kwenye mfumo wa dijitali, amesema Rais William Ruto. Ameongeza kuwa serikali imejitolea kuhakikisha mpito kuelekea...

Kenya na Japani zasaini mkataba wa ushirikiano katika sekta ya uchukuzi

0
Kenya na Japani zimetia saini mkataba wa ushirikiano wa sekta za umma na kibinafsi katika sekta ya uchukuzi.  Utiaji saini huo ulifanywa kati ya Waziri...

Kenya na Japani zaandaa kongamano la miundombinu bora

0
Kenya na Japani zimeandaa kongamano la pili la miundombinu bora baina ya nchi hizo mbili.  Kongamano hilo liliandaliwa katika hoteli moja jijini Nairobi na kuhudhuriwa...

Idadi ya waliofariki katika tetemeko la ardhi Japani yafika 62

0
Onyo la kutokea tsunami limeondolewa nchini Japani baada ya tetemeko kubwa la ardhi, lakini idadi ya waliofariki imeongezeka hadi 62, huku nyumba zikiharibiwa. Waziri Mkuu...

Waliofariki katika tetemeko la ardhi Japani wafikia 30

0
Idadi ya watu waliofariki katika tetemeko kubwa la ardhi nchini Japani lililosababisha nyumba kubomoka na onyo la tsunami kutolewa sasa wamefikia 30. Kulingana na ripoti...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS