Home Tags Jackie Maribe

Tag: Jackie Maribe

Jowie ahukumiwa kifo

0
Joseph Irungu maarufu kama "Jowie" amehukumiwa kifo baada ya kupatikana na hatia ya kumuua mfanyabiashara Monica Kimani mnamo mwaka 2018. Akizungumza wakati wa kutoa hukumu...

Maribe kuongoza mawasiliano katika afisi ya Waziri Kuria

0
Jackie Maribe ambaye alikuwa msomaji wa habari katika runinga na ripota ameteuliwa kuhudumu kama mkuu wa shughuli za mawasiliano katika wizara ya utumishi wa...

Mauaji ya Monicah Kimani: Mahakama yatoa hukumu

0
Jaji Grace Nzioka ambaye pia ni Jaji Msimamizi wa Mahakama ya Naivasha kwa sasa anasoma hukumu katika kesi inayowakabili  mwanahabari Jackie Maribe na mpenzi...

Maribe na Jowie sasa kujua hatima yao Machi 15

0
Hukumu dhidi ya mwanahabari Jackie Maribe na mpenziwe wa zamani Joshua Irungu, almaarufu Jowie, sasa itatolewa Machi 15, 2024. Hukumu hiyo ambayo ni mara...

Maribe, Jowie kujua hatima Ijumaa

0
Mwanahabari Jackie Maribe na mpenziwe wa zamani Joshua Irungu, maarufu kama Jowie, wanatarajiwa kubaini hatima ya kesi ya mauji inayowakabili ya mfanyabiashara wa kike...

Kesi kuhusu mauaji ya Monica Kimani kuamuliwa Januari mwaka ujao

0
Hukumu kuhusu mauaji ya mfanyabiashara Monica Kimani iliyokuwa itolewe leo Ijumaa, imeahirishwa tena hadi tarehe 26 mwezi Januari mwaka 2024. Jaji wa Mahakama Kuu Grace...

Kesi kuhusu mauaji ya Monica Kimani kuamuliwa Disemba 15

0
Mahakama Kuu imeahirisha kutoa hukumu dhidi ya Joseph Irungu almaarufu Jowie na Jackie Maribe kufuatia mauaji ya mwanabiashara Monica Kimani yaliyotekelezwa mwezi Septemba mwaka...

Jackie Maribe na Joseph Irungu kufahamu hatima yao tarehe sita Oktoba

0
Justice Grace Nzioka wa mahakama kuu, ana muda wa miezi miwili na nusu kutoa hukumu kuhusu kesi ya mauaji ya mwanabiashara Monica Kimani, aliyeuawa...
235,000FansLike
66,240FollowersFollow
421,000SubscribersSubscribe
- Advertisement -
zinga

EDITOR PICKS