Home Tags IVORY COAST

Tag: IVORY COAST

Tembo wamfukuchua tai na kutwaa kombe la AFCON kwa mara ya...

0
Wenyeji Ivory Coast maarufu kama The Elephants ndio mabingwa wa makala ya 34 ya kombe la AFCON, baada ya kutoka nyuma na kuwazabua Super...

Tembo wa Ivory Coast wamcharanga chui na kujaa fainali ya AFCON

0
Wenyeji Ivory Coast almaarufu The Elephants,  walijikatia tiketi kwa fainali ya makala ya  34 ya dimba la AFCON  baada ya kuwaangusha Chui wa Congo...

Chui kuvaana na tembo huku Bafana wakipimana ubabe na tai...

0
Makala ya 34 ya kindumbwendumbwe cha kombe la AFCON yatarejea Jumatano usiku tai wa Nigeria, wakicheza nusu fainali  ya kwanza dhidi ya Bafana bafana...

Tembo amng’ata Simba na kumvua ubingwa wa AFCON

0
Wenyeji Ivory Coast walijizatiti kisabuni na kuwavua ubingwa Senegal baada ya kuwalemea kwa mabao 5-4 na kufuzu kwa robo fainali  kupitia matuta ya penalti...

Tembo wa Ivory Coast wapigwa radi nyumbani

0
Matumaini ya wenyeji Ivory Coast kufuzu kwa raundi ya 16 bora yamedidimia Jumatatu jioni baada, ya kuambulia kichapo cha mabao manne kwa bila kutoka...

Tai wa Nigeria wakanyaga tembo wa Ivory Coast

0
Super Eagles ya Nigeria iliwanyima wenyeji Ivory Coast raha baada ya kuizabua goli moja kwa bila katika mechi ya kundi A iliyopigwa jana Alhamisi...

Tembo aponda mbwa mwitu kipute cha AFCON

0
Wenyeji Ivory Coast walianza vyema makala ya 34 ya kipute cha kombe la mataifa ya Afrika, AFCON kwa ushindi wa mabao mawili kwa bila...

Ni kufa kupona kwa Harambee Stars leo usiku

0
Timu ya taifa ya Kenya, Harambee Stars itashuka ugani Félix Houphouët Boigny mjini Abidjan nchini Ivory Coast leo Jumatatu usiku, kwa mchuano wa pili...

Mabingwa watetezi Senegal warushwa kundi moja na Cameroon michuano ya AFCON...

0
Mabingwa watetezi Senegal ukipenda Teranga Lions wamejumuishwa kundi C pamoja na Cameroon katika makala ya 34 ya kipute cha kuwania kombe la mataifa ya...

Hekaheka za kufuzu AFCON mwakani kurejea Jumatano

0
Jumla ya mikwangurano mitatu ya raundi ya tano, hatua ya makundi kufuzu kwa fainali za kombe la mataifa ya Afrika mwaka 2024, zitapigwa Jumatano. Sudan...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS