Home Tags IVORY COAST 2024

Tag: IVORY COAST 2024

Ekong atawazwa mwanandinga bora wa AFCON huku Ronwen akiibuka kipa...

0
Nahodha wa Nigeria  William Troost-Ekong alitawazwa mchezaji bora wa makala ya 34 ya kipute cha AFCON nchini Ivory Coast. Mshambulizi wa Equitorial Guinea  Emilio Nsue...

Bafana kukabana koo na Chui wa Congo kuwinda shaba AFCON

0
Bafana Bafana ya Afrika Kusini na Chui wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo  watashuka katika uchanjaa wa Félix Houphouët-Boigny mjini Abidjan, Jumamosi usiku katika...

Takwimu za AFCON baada ya mechi 50 huku kilele ikiwa Jumapili

0
Mechi 50 zimesakatwa tangu kuanza kwa makala ya 34 ya kipute cha kombe la AFCON nchini Ivory Coast. Jumla ya ambao 116 yamefungwa kutokana na...

Ratiba ya robo fainali ya kipute cha AFCON yabainika

0
Ratiba ya mechi za robo fainali kuwania kombe la AFCON, imebainika kufuatia kukamilika kwa mechi za awamu ya 16 bora . Nigeria Super Eagles watafungua...

Kitita cha pesa kwa timu zinazoshiriki kipute cha AFCON

0
Mabingwa wa kombe la AFCON mwaka huu nchini Ivory Coast watatia kibindoni shilingi bilioni 1.12 huku washindi wa medali ya fedha wakipokea shilingi milioni...

Takwimu za kindumbwendumbwe cha AFCON nchini Ivory Coasu

0
Makala ya 34 ya kindumbwendumbwe cha kuwania kombe la mataifa ya Afrika AFCON yataingia awamu ya 16 bora baina ya Jumamosi  Januari 27 na...

Kipute ch AFCON kuingia mwondoano Jumamosi

0
Kindumbwendumbwe cha AFCON kitaingia awamu ya 16 bora siku ya Jumamosi Januari 27 kwa mechi mbili. Palancas Negras kutoka Angola watafungua ratiba dhidi...

Malimbukeni washamiri AFCON huku mibabe wakihaha

0
Makala ya 34 ya kipute cha kuwania kombe la Afrika  AFCON nchini Ivory Coast yamezua viroja, huku timu zilizopigiwa upato kutwaa ubingwa zikibanduliwa katika...

Mechi za mchujo wa 16 bora AFCON zabainika

0
Mechi za raundi ya 16 bora kuwania kombe la mataifa Afrika- AFCON ,zimebainika kufuatia kukamilika kwa michuano ya makundi. Katika mechi za mwisho za makundi...

Tembo wa Ivory Coast wapigwa radi nyumbani

0
Matumaini ya wenyeji Ivory Coast kufuzu kwa raundi ya 16 bora yamedidimia Jumatatu jioni baada, ya kuambulia kichapo cha mabao manne kwa bila kutoka...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS