Home Tags Italy

Tag: Italy

Rais Ruto arejea nchini baada ya ziara nchini Italia na Uswizi

0
Rais William Ruto amerejea nchini kutoka mataifa ya Italia na Uswizi ambako alihudhuria mkutano wa mataifa 7 yenye ustawi mkubwa kiviwanda duniani, G7 na...

Uhispania, Uswizi na Italia wavuna ushindi

0
Kipute cha mataifa bingwa ya bara Europa kinachoendelea nchini Ujerumani, kiliingia siku ya pili hapo jana na kuandikisha matokeo mseto. Katika mchuano wa kwanza,...

Rais Ruto aelekea Roma Italia kwa ziara rasmi

0
Rais William Ruto ameondoka nchini kwa ziara rasmi huko Roma Italia ambako anatarajiwa kuhudhuria kongamano la Italia na Afrika. Lengo kuu la kongamano hilo la...

Mauaji ya mwanafunzi wa kike yazua maandamano kote nchini Italia

0
Watu wengi wamejitokeza kushiriki maandamano kwenye barabara za miji kadhaa nchini Italia kulalamikia mauaji ya mwanafunzi wa kike. Maandamano makubwa yalishuhudiwa katika miji ya Roma,...

Wawakilishi wa serikali watafuta kusuluhisha suala la mabwawa

0
Wawakilishi kadhaa wa Wizara ya Maji na serikali ya Kenya wako nchini Italia kutafuta suluhisho la kukamilisha miradi iliyokwama ya mabwawa. Kundi hilo linajumuisha Waziri...

Banyana yamtafuna Mwitaliano na kutinga raundi ya pili Kombe la Dunia...

0
Mabingwa wa Afrika Banyana Banyana kutoka Afrika Kusini wametoka nyuma na kuwapiga Italia almaarufu Le Azzuri, magoli 3-2 na kufuzu kwa raundi ya 16...

Waziri Linturi asema Kenya imejitolea kuhakikisha uwepo wa chakula

0
Waziri wa kilimo na ufugaji Mithika Linturi amesema serikali ya Kenya imejitolea kuhakikisha uwepo wa chakula salama na bora kwa wote kwa kuwianisha mipango...

Mabalozi kutoa ripoti kila mwezi kuhusu utangazaji wa bidhaa za Kenya

0
Naibu Rais Rigathi Gachagua amesema kwamba mabalozi wa Kenya watakuwa wakitoa ripoti ya kila mwezi kuelezea hatua walizochukua kutangaza bidhaa za Kenya katika nchi...

Naibu Rais Rigathi Gachagua kuhudhuria kongamano kuhusu chakula huko Italia

0
Naibu Rais Rigathi Gachagua aliondoka nchini Jumamosi kuelekea Italia kwa kongamano la siku tatu la shirika la umoja wa mataifa kuhusu kukadiria mifumo ya...

Uhispania waikwatua Italia na kutinga fainali ya UEFA Nations League

0
Bao la dakika za mwisho mwisho lake Joselu, liliwapa Uhispania ushindi wa magoli 2-1 dhidi ya mabingwa wa Ulaya Italia, na kufuzu kwa fainali...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS