Home Tags Israel

Tag: Israel

Hamas yalaumu Israel kwa makosa makubwa ya kivita

0
Kundi la Hamas limelaumu Israel kwa kile linachokitaja kuwa makosa makubwa ya kivita kufuatia shambulizi la Jumamosi katika kambi ya wakimbizi ya Nuseirat ambapo...

Bunge la Marekani laiwekea ICC vikwazo

0
Bunge la Wawakilishi la Marekani limepiga kura kupitisha sheria ambayo itaiwekea vikwazo Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) baada ya mwendesha mashtaka wake kuomba...

Mateka 4 zaidi wa Israel wafariki Gaza

0
Jeshi la Israel linasema kuwa limethibitisha vifo vya watu wanne zaidi waliotekwa nyara na Hamas  Oktoba 7,2023. Linasema wanne hao waliuawa wakiwa pamoja wakati wa...

Mudavadi: Kenya inaunga mkono pendekezo la kusitisha vita Gaza

0
Waziri mwenye Mamlaka Makuu Musalia Mudavadi amesema Kenya inaunga mkono pendekezo la kumaliza vita kati ya  Israel na Hamas. Mudavadi amesema kenya inaunga mkono...

Ruto akubali mpango wa Biden wa kusitisha vita Gaza

0
Rais William Ruto ametangaza kwamba anakubaliana na mpango wa Rais wa Marekani Joe Biden wa kusitisha vita katika Ukanda wa Gaza. Kupitia taarifa kwenye akaunti...

Serikali ya Israel yahimizwa kukubali mpango wa Biden wa kusitisha mapigano

0
Jamaa za raia wa Israel ambao walishikwa mateka na wapiganaji wa Hamas huko Gaza wameitaka serikali ya nchi yao kukubali mpango wa Rais Joe...

Watu kadhaa wauawa kwenye mashambulizi ya Israel Rafah

0
Watu kadhaa wamefariki kwenye mashambulizi ya makombora ya Israel kwenye kambi moja inayokaliwa na wapalestina katika eneo la Rafah kusini mwa eneo la Gaza....

Watu zaidi ya laki 8 watoroka Rafah

0
Philippe Lazzarini mkuu wa shirika la umoja wa mataifa la kushughulikia wakimbizi wa Palestina UNRWA amesema kwamba watu zaidi ya elfu 800 wametoroka mji...

Hamas yakubali masharti ya makubaliano ya kusitisha mapigano

Uongozi wa kundi la Hamas, umesema umekubali masharti ya makubaliano ya kusitisha mapigano huko Gaza yaliyotolewa na Israel. Kundi hilo linasema limewafahamisha wapatanishi wa Qatar...

Mtandao wa KFC wasemekana kudukuliwa

0
Video inayosambaa mitandaoni inaashiria uwezekano wa kudukuliwa kwa mtandao wa duka la chakula la KFC. Katika video hiyo, viwambo vilivyopachikwa dukani ambavyo mara nyingi...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS