Home Tags ISIOLO

Tag: ISIOLO

Viongozi wa Isiolo wamshutumu Kindiki kufuatia kuzorota kwa usalama

Viongozi wa jamii ya Wasomali katika kaunti ya Isiolo wamemshtumu Waziri wa Usalama wa Kitaifa Prof. Kithure Kindiki kwa madai ya kukosa kuchukua hatua...

Wakulima watakiwa kununua mbolea kutoka kwa mawakala wa serikali

0
Wakuliwa wameshauriwa kununua mbolea kutoka kwa mawakala walioidhinishwa na serikali, kuepuka kuhadaiwa kwa kuuziwa mbolea ghushi zitakazoathiri mazao yao. Meneja wa eneo la mlima Kenya...

Mifugo walioibwa waendelea kurejeshwa Isiolo

0
Mbuzi 19, ng'ombe wawili na ngamia mmoja waliokuwa wameibwa katika kaunti ya Isiolo wamerejeshwa. Hii ni baada ya mifugo hao kupatikana katika kaunti ya Samburu. Makataa...

Operesheni ya usalama Isiolo: Viongozi na wazee watofautiana

0
Viongozi na wazee katika eneo la Isiolo wametofautiana kuhusiana na operesheni ya usalama inayotarajiwa kutekelezwa katika eneo hilo. Waziri wa Usalama wa Kitaifa Prof. Kithure...

Vita dhidi ya wizi wa mifugo vinazaa matunda, asema Waziri Kindiki

0
Waziri wa Usalama wa Kitaifa Prof. Kithure Kindiki anasema mafanikio makubwa yanazidi kupatikana katika vita vinavyoendelea dhidi ya wezi wa mifugo wanaowahangaisha wakazi wa...

Mateso ya Mafuriko: Mashirika ya kibinadamu Isiolo yatakiwa kuingilia kati

0
Watu waliopoteza makazi kutokana na mafuriko katika wadi ya Ngaremara, kaunti ya  Isiolo wanatoa wito kwa mashirika ya kutoa misaada kupiga jeki juhudi za...

Polisi wapata mbuzi 13 walioibwa kutoka kaunti ya Laikipia

0
Maafisa wa polisi wamepata mbuzi 13 katika eneo la Wamba kaunti ya Samburu, waliokuwa wameibwa kutoka kaunti ya Laikipia.  Mifugo hao waliripotiwa kuibwa  tarehe  23...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS